@iccdodoma: NAMNA GANI YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA NA KUBAKI KATIKA KUFANIKIWA Ni kweli kuwa watu wengi hufanikiwa lakini sio wote wanaobaki katika mafanikio. Hizi ndizo kanuni saba kutoka kwa Askofu wetu Mkuu wa Kanisa la TAG alizowaachia vijana @iccdodoma wakati wanaendelea na semina yao.!  1. Kuwa na hali ya tafakuri ya Neno la Mungu - Mfanye Mungu kuwa namba moja katika maisha yako. 2. Jua muelekeo wako wa maisha - Uwe na ramani ya maisha yako, maono, mpango wako na ndoto zako uzijue. Ujue unatoka wapi, upo wapi na unaelekea wapi. 3. Uwe na azma, hali ya kuazimia. Uwe na makusudi ya maisha. Ujue kuwa kupata mafanikio katika haya maisha huna budi kuwa na azma na kuwa mtu wa kufanya kazi kwa bidii. Wokovu ni kwa Neema ila kufanikiwa katika maisha unahitaji kuvuja jasho.  4. Uwe na nidhamu ya maisha. Maisha yahusiana na Sheria, kanuni na miongozo. Kila kitu kina sheria na miongozo. Fuata sheria na miongozo. 5. Usiwe mtu wa kuridhika kirahisi. Watu wengi hawafiki mbali kwa sababu wanaridhika kirahisi sana kwa kudhani maisha ni kuwa na nyumba na gari na hivyo hudhani kuwa wamefika mwisho wa safari Yao. Kuna zaidi Mungu anataka uwe navyo katika maisha. Mungu anataka ufike mbali zaidi ya hapo.  6. Uwe mwadilifu. Uwe umenyooka! Kwa vijana, utaoa tu na utaolewa tu, Mungu atakuinua tu! Usipite njia za mkato.  7. Uwe na upendo na kuwatanguliza wengine. Hii wie sheria kwako kuwatanguliza wengine. Utajiri mkuu wa mtu sio pesa, sio elimu, sio majumba na magari bali ni watu wanaokuzunguka. Ukizungukwa na watu wanaomcha Mungu basi utafika mbali, ukitembea na choka mbaya nawe utaishia hivyo hivyo. * Hizi ndizo kanuni kila kijana azifuate na kuzishi na Mungu atamuwezesha. #iccdodoma #seminaYaVijana #kanuniZaMafanikio

iccdodoma
iccdodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 05:29:55 GMT
10014
785
24
90

Music

Download

Comments

christ_ambassadorjp
Justice christian_7 :
Amen🙏
2026-08-24 21:56:59
0
g.classic.nguo.bei
G classic nguo bei nzuri :
IRECEIVE.AMEN AMEN AMEN 🙏
2026-09-10 10:14:18
0
user4335475259161
Julieth Anney :
Amina Askofu wetuu✍️
2026-08-24 18:55:59
0
gachunyj04z
Uzimawamilele :
Powerful
2026-09-12 17:11:24
0
kanyawela772341095812
Lugaba772341095812 :
Amina
2026-08-24 12:06:15
0
eliwazaelias875
eli Tz :
Amen amen 🙏
2026-10-12 05:44:58
0
happymwamlima1
happymwamlima7 :
Amina 🙏
2026-08-25 13:00:32
0
adam.kiungo
Adam kiungo :
Amen baba askofu 👏👏
2026-08-25 13:29:01
0
ghamaifilibet
[email protected] :
Amen 🙏 injil isonge mbele
2026-08-24 11:31:46
0
pssamwel
Ps Samwel Mganga :
Amen 🙏🙏
2026-08-24 13:04:52
1
user438692209933
user438692209933 :
Amen
2026-10-14 04:38:59
0
user2018161555727
Marytheloved :
Amen
2026-09-09 05:02:26
0
healthycons
Greyson :
Amen
2026-08-24 17:40:54
0
henrick.mangula
Henrick Mangula :
Amen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-25 10:22:57
0
blackwoman3737
Lady Kathryn🌸 :
Amen
2026-10-06 04:04:40
0
thomaskidiku
Evangelisti Thomas Raphael Kid :
Amen
2026-08-25 20:08:08
0
fresh.kid10
user7708028145433 :
Amen 🙏
2026-09-09 20:09:45
0
user8512321605511d
dorah :
amina
2026-08-24 08:06:33
0
abiudikikoti
abiudi kikoti :
amina
2026-08-25 18:19:41
0
user24024190945116
user24024190945116 :
✅✅✅✅✅✅✅✅✅
2026-08-24 07:22:33
0
tkg710c6qx67ml
user3555217170237 :
💂
2026-08-24 12:00:27
0
rosekazy
Rosemyner Raphael :
💯💯💯
2026-08-28 16:09:56
0
charlesgenjidominic
~CHARLES@$ :
😂😂😂
2026-10-06 14:08:52
0
To see more videos from user @iccdodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About