@kaisikiactress73: Jamanii Nimewakosea au wamenikosea. Nikiongea nionekane Nina mdomo 😂😂😂😂😂😂 #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #trending #fypシ゚viral #usa_tiktok

#KAISIKI
#KAISIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 05:35:30 GMT
93895
4363
183
205

Music

Download

Comments

user1520681921307
@Reenay :
umetish 😅😅😅
2026-08-24 21:09:06
0
auraqueen2557
Cherry🍒 :
Hapa hakuna chakula cha kuwapa matahira 😂😂😂
2026-08-24 06:02:13
39
liliansalah2
AliceNambeja :
jamani tutafute hela tujenge hii ni aibu
2026-08-24 14:14:08
13
salmambaraka7202
l :
hii inakera for real
2026-08-24 09:32:39
0
its.beatrice83
It's Beatrice. :
Pacha wa Baba atu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-24 16:51:44
7
merisianayusuph
merisiana yusuph :
🤣🤣🤣🤣 umenifanya nimecheka dada wewe asante kwa kunitowa stires🤣🤣
2026-08-24 07:24:55
10
kuruthum356
thum8070 :
dada ake baba atu😂
2026-08-24 16:14:24
6
irene.didas3
Irene Didas :
heeee heee🥺
2026-08-24 09:22:22
2
user7341817215563
jesca :
🤣🤣🤣nashindwa kuwaelewa
2026-08-24 12:36:11
4
rinna.henery
Rinna Henery :
mmmmhhh
2026-08-24 06:58:33
0
debbies.foods.aru
Debbie's foods arusha :
😁😁 kwakweli hapo wamekukosea kabsaa!!!
2026-08-24 11:03:17
6
chaz_kin_94
Charles Khamis :
shem kama shem😂😂😂😂😂😆😆😆
2026-08-24 05:55:14
0
mama.g.7838
MAMA G :
eti mtakuja mnibake na hao ndugu zako😂😂😂😂😂😂
2026-08-24 16:06:53
4
miss_12.me
🌿Miss💚 me☘️ :
siwezi kukunyima like jmni🤣🤣☺️☺️🤣🤣🤣🤣☺️
2026-08-24 19:37:45
3
withsamwel
With Samwel :
tabia za mme wangu hiz
2026-08-24 20:13:20
1
halimacy6
Halima yanga💚 :
Aliwaretaga hivo nikajifunika mpk kichwan sikujitingisha had wakaondoka
2026-08-24 18:51:27
2
madete.konah
Madete Konah :
Huu ndio uharisia wa mambo 😂
2026-08-24 20:43:24
0
athumani8290
Brighton boy :
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila nshomile jmn
2026-08-24 20:55:00
0
mommyjerry2580
Esther Josephat Msomi :
😂😂😂 watakufanyaje n ndugu zake
2026-08-24 20:08:16
1
ashura8298
A💕💕💕💕💕 :
😅😅😅yaan hyu ndo wangu me skumoja natokwa kuoga nakuta mabuti nje naingia ndn nakuta kja na lafiki ake yaaan 😅😅😅
2026-08-24 06:46:11
4
user7778781687717
lrene :
ila kaisiki nikwenda busha
2026-08-24 13:35:23
4
aziza88027
@Aziza8 :
mnajua nacheka nin
2026-08-24 17:42:30
2
user2397762008290
ester :
mtakuja kunibaka na hao ndugu zako🥰🥰
2026-08-24 13:56:55
4
lucymashaka375
Lucy Mashaka :
yani nimecheka😁😁😁 kwa sauti sana umenikumbusha mbali nilipitia hii hali hezi za nyumba yakupanga ila wanamume hapna awanaga ata aibu duh!
2026-08-24 17:01:26
2
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About