mimi ni jibu la mungu kwenye huu ulimwengu, ndio mana napenda kukaa mwenyewe pembezoni mwa ufukwe
2026-09-19 18:10:07
0
mbaramwezi_tz :
nakuelewa.
2026-09-19 18:11:13
0
Queen🦋 bee💋 :
Mimi sielewi sana lakini kama ndio unazungumzia msisimko juu ya utosi Mimi ninao muda wote nahitaji kufanya hivyo ulivyovitaja hapo karibia vyote sifanyi na huo mtetemo nahusikia mwili mzima hasa usiku napotaka kulala ndio huja zaidi mpaka kama nataka kupagawa hivi
2026-08-24 09:38:14
1
mbaramwezi_tz :
wewe ni spesho
2026-09-19 18:08:37
0
sweet Ney :
CROWN YANGU YA KICHWA IMELALA YOOO...NAHISI IMEFUNGWA..SINA CHOCHOTE MNACHOHISI LABDA UCHOVU WA MARA KWA MARA
2026-08-26 19:24:33
1
Shazili nape :
😁😁😁😁😁😁😁😁😇😇😇😇😇🥰
2026-09-09 14:33:45
0
To see more videos from user @nguvuyarohoakili, please go to the Tikwm
homepage.