@tumainikwaya: #Haina haja yakufa hatakama umepata ujumbe mgum Wimbo huu umeshatoka#kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #tikitoktanzania🇹🇿 #nyimbozainjili #ungandatiktok🇺🇬

TUMAINI KWAYA
TUMAINI KWAYA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 05:45:33 GMT
26052
1939
208
615

Music

Download

Comments

shamy.one
shamy one :
bhna me nacheka 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-24 09:47:05
50
teesjune
TheRealJUNE🫵🏻🏴‍☠️ :
Mungu Naomba uniepushe na laana za kulazimishiwa🤣
2026-08-24 09:15:40
54
donatahamis265
donatahamis265 :
Ngoja nichukue juis barid kwenye kivuri nikae maana nimechoka 😂
2026-08-24 19:29:22
17
dorcus.pallangyo
Dorcus Pallangyo :
waaaaoooo
2026-08-24 14:53:33
0
joyous20222
masele 💜 :
tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu🥰
2026-08-24 15:26:38
11
sifa39355
sifa💞 :
hata kama hujacheka Mungu anaangalia moyoni
2026-08-24 12:50:17
4
lizzy.raymond6
Lizzy ❤️ :
Jitahidini watu wa mungu mtafika mbali 🥰
2026-08-24 11:33:15
7
benithadio
Shes Benny🧡 :
Yote tisa 10 ni kwamba ukisikiliza bila unafikii kuna ka ujumbe kanapenya msikate tamaa
2026-08-25 19:37:12
6
aunt_momo1
FRCOSMETICS AND HAIRCOLLECTION :
Nan katunga hiyo wimbo ya chini ya mti
2026-08-24 10:53:24
7
realfred80
realfred :
Hii ni nyimbo ya gosper au mi nyimbo ya heartbreak😂😂😂😂💔
2026-08-25 01:05:25
5
lulugodwin245
Lulu :
Eliud akiona hii baaas😂
2026-08-25 15:24:47
2
hopemwasuka
Hope Anangisye :
ngoja nichukue juice baridi sasa😁
2026-08-25 07:20:32
1
anko.jozeph
ANKO JB🍫 🇹🇿 :
Ujumbe umefika 🥰
2026-08-24 18:40:39
0
hajirimpepo
hajirimpepo :
sijinyongi kwa jina la yesu 🥰🥰🥰
2026-08-24 19:26:42
0
adelinamgayae
Adelina mgaya E :
nawapendaaa wa kukayee
2026-08-25 06:02:11
0
aarongosbert
aarongozbert :
kwaya nzuri
2026-08-24 18:15:53
0
ramgirl62
ramgirl 🥰 :
😁😁ntajitahidii kwakwelii
2026-08-24 10:08:26
0
stephen.elia3
Stephen Elia :
akiii me nishajichukulia maamuzii magumuu bhn mtajua wenyewe😂😂😂😂
2026-08-25 14:32:29
2
mo077755
Mo :
wameandika vzur
2026-08-24 13:20:35
0
To see more videos from user @tumainikwaya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About