@catholicsongs60: Njoo Bwana Yesu ninakuhitaji🙏🙏🙏 @phina @ST JOHN PAUL II KIBANGU @gaspar_markanda @KKM - MIVUMONI #creatorsearchinsights #viralvideo #catholic
This song takes me back last year while in hospital. Mungu alinitembelea kwa hakika
2026-08-25 19:28:29
0
alara :
Name of song? Title, please.
2026-08-24 17:19:25
0
Wuo Nyolwal :
nimeona phina,,God bless you phina🙏and have a Quick recovery
2026-08-25 04:08:14
2
Annunciata :
sister Olivia 🥰🥰
2026-08-25 13:51:48
1
Mkundee :
low key
2026-08-24 09:53:35
0
user8558345236756 :
Yani kuna mda nawaza ningekua mimi ndo Phina ingekuwaje? Maana mm sipendi hata kuchelewa kwenye mazoezi ya kwaya coz napenda sana kuimba. Mungu akubariki Phina najifunza kitu kutoka kwako
2026-08-24 09:47:47
6
Rose James :
my song🥰
2026-08-24 08:56:28
1
Cece😊 :
sauti ya pili👌🏽👌🏽❤️
2026-08-24 09:06:20
3
Norah@2 :
aliiiiiiiiiiiiiii 🥰🥰🥰🥰
2026-08-24 09:03:57
0
elizabeth :
tumefurahi sana jana kusali na nyie
2026-08-24 13:31:48
2
lawrence :
@phina❣️💯
2026-08-24 08:28:22
0
Nario Kitally :
jaman naupenda huu wimbo nisaidie ni kwaya gani wameimba🙏
2026-08-24 11:42:58
0
Anthony Makau552 :
katoto kametulia hapo pole kababy
2026-08-24 10:19:22
0
Madam Faraja❤ :
Naipenda sana hii kwaya aaisee ❤️🙏 huwa wanakuwanga na vibe hatari
2026-08-25 18:03:02
0
method :
barikiwa sana phina
2026-08-25 18:40:01
0
joan7035 :
nikiingia kwaya kama hii nakutana na mungu hivo hivo
2026-08-24 12:33:41
0
domitira :
mbarikiwee san
2026-08-24 17:13:06
0
ST.SABASTIAN :
sauti ya nne🥰🥰🥰🥰
2026-08-24 16:09:30
0
Chafumbwe D :
Phina kaimba kwa hisia balaaa
2026-08-25 18:33:58
1
megavision.eye.clinic :
2026-08-25 19:20:00
0
luth biseko :
2026-08-24 20:37:51
0
furaha :
Amina 🙏
2026-08-25 05:34:27
0
BRIGHTS SCHOOL & KP COLLECTION :
Phina Mungu aendelee kukupigania🌺
2026-08-25 16:32:42
0
To see more videos from user @catholicsongs60, please go to the Tikwm
homepage.