andiko gani linasema Mungu ana nafsi tatu?
Ni Mungu gani alimtuma Yesu duniani?
2026-08-25 05:12:47
5
La Lu :
Ni kweli YESU KRISTO ni MUNGU.
Lakini wanahitaji ufafanuzi kwa kuelimishwa sio hasira.
Muwajibu maswali yao.
2026-08-24 13:20:47
15
GMK ♥️✊ :
Ukiona mtu ana pinga Kuwa yesu si Mungu,huyo ndiye mpinga Kristo
yesu ni Mungu 100%
2026-08-24 21:31:26
38
Augustine Thotho :
Shida ni kwamba wanasoma Bibilia kama gazeti. Yesu ni siri ya Mungu, huwezi kumjua Yesu bila Mungu, na pia huwezi kumjua Mungu bila Yesu, "hao wawili ni mmoja"
2026-08-27 05:31:09
17
Marko Z :
hapo mwanzo kulikuwako neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu kwahiyo hapo yesu ni Mungu isipokuwa tu Mungu alijifunua nndo akaja kwa njia ya mwili
2026-08-25 09:17:57
11
Denis Samson nondo :
YESU NI MUNGU MWENYE NGUVU
2026-08-29 17:54:41
7
Burure Motatiro :
Yesu ni Mungu!
2026-08-26 16:48:56
5
HOPE MALEGA :
AMEENA🙌🙌
2026-08-25 11:00:27
1
Mbogela Ally :
UUNGU WA YESU NI MPAKA UMWANI USIYE MWAMINI UTA JUA KUWA YESU NI MTU WA KAWAIDA ILA YESU SIO MTU NA HAKUZALI NA WALA HAJAWAHI KUWA MTU NA HAJAFA YUPO HAI MPAKA KESHO NA HATA MILELE
2026-08-27 10:18:25
6
TinahPius :
sema Baba ma sheikh wapone
2026-08-25 09:35:56
2
wicky De boss :
Mungu siku zote
2026-08-24 10:04:04
1
ESTER ERASTO🫅🫅 :
Answaaa🖐️
2026-08-24 19:57:30
1
jeffrey :
leo nimekuelewa vizuri
2026-08-24 18:39:57
1
Eveline Sebastian :
Amen Hallelujah 🙏
2026-08-27 20:42:07
1
EDMOND KODO :
Mungu akubariki muchungaji
2026-08-24 19:48:36
1
lahema François :
amen
2026-08-24 18:50:46
1
shukuru Pendeza :
Tamba baba,tulio ndani ya YESU tuna raha
2026-08-24 16:03:30
9
DANNY MUKAZ :
Aksanti baba mchangaji tuna farijika Yesu ni Mungu.
2026-08-24 19:37:59
1
Gift kaluwa :
hallelujah
2026-08-24 10:48:25
1
mamapendokids :
Amina baba
2026-08-24 11:40:32
1
Dantez :
Amen
2026-08-29 18:19:39
1
amosezekiamnyonga0 :
amin
2026-08-24 13:59:43
1
Jonathan 06 :
Yesu ni Mungu
2026-08-29 11:17:11
1
Alibhai Karimj :
soma 8 mstari 40 yo hana utaelewa kasema yeye ni mtu
2026-08-25 08:32:41
0
bampa 2 bampa :
njoo kwa mjadala wa BIBLIA PEKEE
2026-09-01 06:25:59
0
To see more videos from user @harry.mbale7, please go to the Tikwm
homepage.