@denzel_trainer: KEGEL WORKOUTS FOR MEN. HAYA WANAUME WENZANGU, NAWAOMBA SANA MSIACHE KUITUMIA HII TIBA MKIWA MAJUMBANI KWENU MTANISHUKURU BAADAYE. Vilevile kwa siku, msiache kula ndizi mbili kila siku, kipande kimoja cha tikiti Maji na mbegu zake, Dafu moja lenye maji kila siku, pia usiache kula na tango moja kila siku kwenye maisha yako. Halafu hayo mazoezi niliyokupa yafanye kila siku, ukiweza asubuhi na jioni, ukishindwa basi fanya mara moja kwa siku. MTANISHUKURU NAWAOMBA MNIPIGIE KWA HUDUMA YA ONLINE NA HOME TRAINING NITAKUFUATA.