@apostle_msechu: HUU UJUMBE 🙌🔥❤️

APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 07:24:59 GMT
52200
4454
154
397

Music

Download

Comments

user9433973461685
user9433973461685 :
kama mwanaume haja hajakusaidia kwenye mahusiano tambua hata akikuoa hawezi kuku saidia
2026-08-24 17:08:07
25
dneema5
Doshee Neema :
Ongeza volume man of God. Nothing like I will change/settle after marriage 🙏🙏
2026-08-25 06:54:04
3
god.fear.women
Proverbs 31:10:31 woman 💃🏻🍎 :
Mimi niliachana na mtu asee ni mpole sana mno kwanza muhuni halafu muongo niligundua ndani ya miaka mitatu ananicheat na wadada watano tofauti,UZURI nilimwambia nikigundua unanicheat nakuacha nakuamini nilikuja kugundua anacheat na mtu ambaye nilishamuuliza mara 3 akakataa katakata nikasema vya nini mie nilijitoa mwaka Sasa
2026-08-24 08:36:08
10
hildaa679
🌹🌹Hilda35 🌹🌹 :
Ni Kwelii kabisa Ubarikiwe
2026-08-24 08:00:01
5
misslenny20
LENNY ✨🤍🦋 :
Amina baba bola nibaki na kauli mbiu yetu zima hisia washa akili hayo mahusiyano nawaachia nyie 🙌
2026-08-24 07:40:12
17
__r.a.c.h.e.l
__R.A.C.H.E.L🤍🌸 :
Sasa kama unampenda jamaniii 💔🙂
2026-08-25 14:34:33
2
luxehube0
Luxe Hub❤️👑 :
Huo ni ukweli kabisaaaaa📌📌📌📌
2026-08-24 14:08:06
1
johnsrali1p
Shadrack (Mume wa mke mmoja) :
sio kweli kabisa haya sio mafundisho sahihi kabisa kuwaogopesha watu
2026-08-28 10:09:36
0
liltte.princess
Elyse❤️🦋 :
Me mtumishi ananicheat then ananiambia atabadilika🥺🥺🥺😔😔😔 habadiliki alaf ni mtu aliyenitolea posaa hata sielew nifanyaje 😔😔😔
2026-08-24 18:38:49
1
g346387
G :
mm sito kuja kuolewa kabisa
2026-08-26 06:49:03
0
user4105793660530
promesse :
vraiment papa je t'aime
2026-08-24 07:35:10
1
debrecioun1
Debrecioun✝️ :
Point 📌
2026-08-24 07:51:52
1
jiggercomedy
jigger20 comedian :
kila nikikufatilia nazidi kujifuza barikiwa saana mtumishi
2026-08-24 12:36:30
1
denizarobati1
denizarobati :
kwer kaka
2026-08-26 19:52:38
2
otiliahobeid
Ms-Oty🦋 :
That’s true 📌
2026-08-24 09:27:54
1
mrembovee
Vaster actress🌹 :
Ameeni
2026-08-24 11:54:40
1
johnsrali1p
Shadrack (Mume wa mke mmoja) :
mtu habadiliki peke yake pasipokuwa na maombi maan mimi nilikuwa namcheat sana mke wangu lakini ilifika kipindi nikaamua kuachana nayo na mpaka sasa huu mwaka wa 3 nimetulia na mke wangu unaweza ukampata mwanaume au mwanamke ambae hujamuona na kasoro yoyote mkiwa bado hamjaingia kwenye ndoa ila mkishaingia kweny ndoa anaanza kuonyesha makucha yake je utafanyaje utaomba talaka au?
2026-08-28 10:11:40
0
mrslion78
𝑴𝒓𝒔 𝑺. :
Mungu awalaani wapigwe na matukio ya dunia
2026-08-24 12:09:11
1
rose.marry897
Happiness Mbaka :
very true indeed
2026-08-24 10:01:36
2
christinemumo10
Christine mumo :
that's true
2026-08-24 08:45:49
1
baby.abel02
Baby Abel :
kabisaa
2026-08-25 20:17:24
1
joyce.jeremia8
Joyce Jeremia :
ukwel mchungu
2026-08-24 08:10:04
2
nonny8504
Nonny :
Facts
2026-08-24 19:35:37
1
c127474892992992227
Caroline Muhonja :
very true
2026-08-24 09:18:36
1
To see more videos from user @apostle_msechu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About