@arteta.10: Barabara MCHEPUKO😂 #zanzibar #tanzania #kenya #uganda #oman

arteta.10
arteta.10
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 07:48:51 GMT
30726
2025
124
202

Music

Download

Comments

muhayminah1
ROUHY ❤️‍🩹 :
km barabara inachipuka mm ni nani 💔😂
2026-08-24 13:06:39
21
luckymilani
officialmilani :
ndio mana mi nikikukuta njiani naishia kucheka tu😁
2026-08-24 08:36:41
34
zcute.6
💖millun💕 :
Maan yake Usichepuke😫😁
2026-08-24 10:24:58
6
moj2555
Monicah🇹🇿❤️ :
Hiyo barabara iko sehemu gani nataka nikawe huo mchepuko 😂😂😂😂
2026-08-25 14:58:28
4
jeyedlind0508
Canadianboy🍁 :
midoo ee ,barabaraa zinachepuka ije kua cc binaadamu😂😂
2026-08-24 08:57:24
6
salitosofo
Salito Sofo :
kiswahili cha Tanganyika hivyo vya fundi
2026-08-24 15:58:37
5
bw_cheklas
Abdul Latifu315 :
una faini mzee ya kuchezea cm ukiwa unaendesha😂😂
2026-08-25 15:05:37
1
__niffer.__
حنيفة 🍂 :
Icho kiswahili fasaha sasa😂😂
2026-08-24 09:38:40
0
shaa.waziri
SHAA WAZIR Og :
itakua barabara ni muhuni
2026-08-24 09:57:08
2
rayyah_4
Yasray🥀🦋 :
Na barabara nazo pia wanazichepua kama wao
2026-08-24 15:13:07
2
nassranamed
Nasra Mohamed :
Nimecheka jamani sbr nieke status🤣
2026-08-24 13:47:37
2
delephotography7
iam_delephotography :
Mchepuko ni dharura hvyo ukiona folen barabra rasmi ingia mchepuko mzee 😅
2026-08-24 10:54:47
1
dipens511
Dipens :
naashindwa kuelelwa
2026-08-25 14:19:50
1
simply.khadi
خديجة محمد 🍃 :
2026-08-24 10:06:35
1
fahiim2121
KING-EL-KHAROUSY :
maana yake hio Njia haijatulia iyo inachepuka
2026-09-14 22:08:11
0
naseemally23
نسيم قاسم🧚‍♀️🤎 :
2026-09-07 22:09:00
0
minahh2209
🇹🇿🌸ت :
2026-09-08 20:19:00
0
nuhda_henna
Nuhda_henna :
2026-08-24 08:52:05
0
hazimhaji173
hazenji :
kuharibu lugha tu
2026-09-17 05:49:39
0
tahrafcollection1
TURKI STYLE ZONE 👗👡👚👜 :
Yani mpk barabara ina mchepuko sembuse watu 😂
2026-09-01 19:36:47
0
cher3y_0
cher3y_0 :
Kwaiy unawafata ao michepukoooo😂
2026-09-13 08:13:49
0
omy.kiss3
Babaa :
wiiiiiiiiiiiiiii
2026-09-11 20:35:42
0
el_mutwafy8
MUHAMED :
zingatia zinachepukaa
2026-09-04 15:32:48
1
khamiskhamis410
kibangala :
broooo mbona frexh 2 hhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 21:38:16
0
najma65119
noone :
😅😅😅😅 nimecheka kwa saut jmn
2026-08-24 09:36:16
0
To see more videos from user @arteta.10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About