@sham59463: MACHOZI YA TINA SEASON 4 PART 36

SHAM NASIB
SHAM NASIB
Open In TikTok:
Region: SA
Monday 24 August 2026 08:25:55 GMT
114764
13861
741
224

Music

Download

Comments

fortu_5216
40❤️🦋 :
😂😂daah kwan jmn nyie hamkuwepo Erick anavomkataza tinah asifanye biashara men yoo😂🙌🏿😂💔
2026-08-24 09:03:43
44
sabkha714
binabayb :
mbona natamani kuona machozi ya erick😂
2026-08-24 08:49:34
82
officiallyrania2
officiallyrania2 :
Amken tuogope wanaume 🥺
2026-08-24 09:48:24
55
bitte836
it's bitte💕 :
Erik muongo kama ex wangu😂😂
2026-08-24 08:36:34
85
fatumtwalib
zwaysh :
amewakilisha wanaume ote wenye tabia izi
2026-08-24 08:35:47
39
jacquelinegustavo4
Jacqueline Gustavo :
Ila nyie Eric.. kumbukeni uhai wa Queen uliponyw na Tina
2026-08-24 08:36:51
80
maria.kibona0
Maria Kibona :
kumbe wanaume ndivyo mlivuo mapenzi yakiisha
2026-08-24 08:41:51
23
rahma.omar852
Rahma Omar :
eric nu ni muongo kama mumewangu looh
2026-08-24 11:22:11
12
the_winnertz
The winner🙏 :
naona kama hii simulizi inachelewa kufika napotaka jaman😂👌
2026-08-24 08:49:33
12
user5197929854458
christine nelly :
naomba mungu Queen ampige matukio mpaka ata mkumbuka tina
2026-08-24 08:47:38
24
ree96702
Ivy 🌿 :
hiyo mimba ya queen sio Yako Erick utakomaaa
2026-08-24 08:57:29
22
hurumaambakisye98
hurumaambakisye98 :
elick muongo kama yule mzazi mwenzagu ndo x wangu😂😂😂
2026-08-24 09:15:46
11
divine.tho
Divine Théo :
vile njo utakimbiyaka siku utaenda rudisha tina
2026-08-24 08:46:26
5
mariam.kakwaya
Mariam Kakwaya :
alive tunga hii story nitaperi wa mapenzi maana kila kitu anapatia wallah 😂😂
2026-08-24 09:33:49
9
neemaosper
neema :
naomba kimkute kitu erick
2026-08-24 12:41:58
5
xxoxo.aishaa
aisha :
Eric utajutia team Tina muko wpi
2026-08-24 14:03:09
4
oumuammar
oumuammar :
Eric kitakuramba wew yani nasubiria kuona machozi yako
2026-08-24 09:52:06
5
ftygl1silentgirl
Silent Girl 🤫 :
Hivi full onapatikana wap maana mnashelewesha mambo
2026-08-24 08:51:00
5
joliebirungi33
Jolie Birungi :
next
2026-08-24 09:21:38
1
user36511011278176
prisca :
next
2026-08-24 09:16:46
1
valeriajohn86
valeriajohn86 :
next
2026-08-24 14:46:42
1
agnesmusunji
agnesmusunji :
Eric eric mungu anakuona 🤔
2026-08-24 09:15:00
1
user431756521452
linet Evans :
next
2026-08-24 09:15:28
1
appleuser866694698
Flo :
Next
2026-08-24 14:51:19
1
user56181039033377
Anne Marie pascal :
mwendelezo jamani
2026-08-24 09:24:15
1
To see more videos from user @sham59463, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About