@nyamingoxamwita7: NDYO wachache wataelewa

myco j.4266
myco j.4266
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 08:31:36 GMT
64764
2691
74
119

Music

Download

Comments

gracebukwimba4
Grace :
the more ue fearing the suffer the more ue suffer
2026-08-27 16:18:45
0
resty.mama
Rest Sweet cake :
short cut is a wrong way keep it.
2026-08-27 11:16:43
0
1234ikungisingidajanua
GENERAL :
matesonyako unayopitia ndo njia ya kukuvusha kwenye changamoto. mzigo wako ndo utakaokuvusha kwenye matatizo.ukiyakwepa matatizo Kwa kukwepa maumivu kule mbele utashindwa kuvuka.dhahabu inachimbwa kwenye matope inaoshwa inaunguzwa na moto tena mkali then inakuwa ya Thamani
2026-08-26 06:24:31
44
its.nashony.future
It's nashony future again :
hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi
2026-08-27 05:32:26
4
flaviusangelo7
Angelo :
Kuna muda shida inaweza kukusaidia kukuvusha katika njia flani iliyoko mbele yako
2026-08-25 18:18:59
11
user7960255032048
Elia benard :
kuna mda inakulazimu uwaacha
2026-08-26 20:18:19
1
dolickas.mlima
dolickas mlima :
kuna watu walinichukia wakanifunza kabisa na baada ya kufukuzwa kwao Mungu alininehemesha sana, ndipo nikawaza sana nisingefukuzwa pale nigepata hiki nilichokipata leo??, matatizo ni mazuri sana ukiwa sambamba na mwenyezi Mungu.
2026-08-27 05:01:00
1
damxxonog
Damxxonog :
Uvumilivu maishani ndo msingiii wa mafanikio 🫶🫶❤️🔥
2026-08-24 10:49:47
4
user1961630161752
lizzie boo🌹 :
kwenye maisha usitafute shot cat
2026-08-24 11:06:14
2
user25010100659216
songe de hakimu :
mweny mafanikio makubwa lazima apitie magumu na changamoto kali
2026-08-26 12:19:00
1
edgarmollel728
E tz :
uxipend kufany vitu kwa uharak ( mafanikio ayaj kiurahis)💪💪
2026-08-24 10:37:34
2
juma34987
JUMA SALUMU✍️ :
Hakuna alie pata bila kuteseka ko vumilia hata kama hupati unacho kitaka ipo siku utapata
2026-08-25 10:21:57
2
jamhuryjeremia
JAMHURY_21 :
uvumilivu ni siraha muhimu kwenye maisha haijalishi unapitia magumu gani, wakati gani lakini uvumilivu utakuvusha.
2026-08-26 10:53:02
1
samweli.l
Samweli lugembe :
tumekuoelewa ndugu
2026-08-26 15:22:32
0
joseph.mjuba
sarah kyense :
nimechek jaman dah
2026-08-24 10:29:04
0
edmundngalawa607
Edmund Ngalawa :
hahaha
2026-08-26 11:44:02
0
fayemarty09
💞fayemarty💞 :
nimekumbushwa masista wamgu jmn miaka iyoooo🥰🥰🥰🥰
2026-08-27 03:18:12
0
tumainisamwel117
Tsamwel :
usitafte shotcut baadae utalia au utajuta
2026-08-27 06:27:22
0
susi49017
M V C E🏃‍♀️‍➡️🏃 :
ukipita shortcut mwisho unapaona mapema lakini ukivumilia shida mwisho utachelewa kuuona na utafurahi kufika
2026-08-27 06:20:05
0
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
inaeleweka mbona
2026-08-24 11:07:26
0
aviel658
Ture Man😎 :
Hakika Hii Ni zaidi ya Lesson 😢🙏
2026-08-27 10:56:43
0
32gwau
Gwau Lino🧿 :
usikatetamaa kwayale magu unayopitia maishanimwak
2026-08-27 12:29:23
0
festasrichard
kevooo :
kwelii kabisaa
2026-08-27 12:10:24
0
amos.sengerema
Amos Sengerema :
Nimeelewa ila imenigharimu mda !
2026-08-27 12:56:54
0
man.of.god0410
Man of God :
mbebe mungu moyoni mwako bila kuchoka awe msaada wako pale utakapofikia hatua yakukata tamaa kwenye maisha yako pale ambapo utakua umefika mwisho yeye atakua daraja lako amina🙏🙏
2026-08-27 12:56:33
1
To see more videos from user @nyamingoxamwita7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About