@mzabuni255: WhatsApp Tips #viral #viralvideo #trending

Mzabuni
Mzabuni
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 09:02:42 GMT
7295
216
11
24

Music

Download

Comments

nck231_
Ja Rule :
Siku mbili zote hizo😁😁😁
2026-08-24 10:21:21
1
banchiki.brandy
Banchiki Brandy :
@NTWARA ICON 🦍:kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-24 11:31:32
1
kevisisanga605
kevoo :
mbona wewe umefollow wa2
2026-08-24 11:32:35
1
play_boe32
ℙL̶A̶Y̶в︎σy👑 :
Aah wadangany Ndugu zk
2026-08-24 11:12:32
2
co_elite_
d!mA$u ✌️ :
unatufany sote ni vichogo kwamb hatun akil
2026-08-24 11:02:50
1
To see more videos from user @mzabuni255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About