@ticha_fungo: Nimetumiwa SARE ZA SHULE Zaidi ya MIA TATU! KUTOKA DODOMA 😭😭😭😭😭😭😭NALIA MACHOZI YA FURAHA NAJIULIZA WATANZANIA NIMEWAFANYIA NINI HADI MNAFANYA HIVI!? TUMEGAWA WANAFUNZI WA AWALI WOTE WAMEPATA UNIFORM ZINGINE ZIMEBAKI!...HUYU MADAME AMEKATAA NISIMTAJE🔥 #SupportVipaji #Charity #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper
Ticha Fungo
Region: TZ
Monday 24 August 2026 09:06:11 GMT
Music
Download
Comments
favor :
jmniii huyu mtoto ameniumiza moyo masikini
2026-08-24 10:42:42
368
Issa Mandoa🍁☠️ :
Nataka niwe mwembamba daaahh😅😅😅
2026-08-24 09:13:18
296
mrembo_glam :
Mi namuelewa sana huyo mtoto alosema anataka kuwa mwembamba, anaweza kuwa anapitia alot of bullying kwa sababu ya mwili wake🥹💔
2026-08-24 10:21:45
511
It’sJulie🌹💜 :
Nataka kuwa mnyama😂😂😂😂😂
2026-08-24 10:46:37
90
#official_brjann@ :
hili ndo darasa D
2026-08-24 09:49:35
101
LADY G WEAR👩🏽🦱🧑🏽🦱 :
Wa nataka kuwa wajomba ili wapokee mahari😂😂
2026-08-24 10:08:33
88
HAN$Y :
Boy is already tired
2026-08-24 10:49:16
0
user2368500258205 :
apa ni mirembe🤔🤔 nini nashindwa kuelewa
2026-08-24 15:41:30
11
Eli :
Zuzu primary school
2026-08-24 10:42:26
0
mai martha50 :
heri wanajisemea ukwl sio sisi tulikua tunajidanganya wenyew 😂😂😂
2026-08-24 11:44:47
15
Chumba cha Raba :
watoto wanaosoma shule za kata hawajui hata ndoto zao, wazazi jaman wafundisheni watoto wajue ndoto zao wakiwa wakubwa
2026-08-24 10:05:39
30
Kajal Josh💕 :
Nataka niwe mnyama😂😂😂
2026-08-24 11:09:15
11
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Nimekaonea huruma ako ka kwanza 🥺
2026-08-24 11:09:44
10
Ivykim :
🥰❤️hug kwa huyu aliyesema anataka kuwa mwembamba
2026-08-24 12:32:33
5
Lucy💞 :
kayumba bwana
2026-08-24 10:09:45
0
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Dah hyo anayetaka kuwa mwembamba MUNGU ampe hitaji la moyo wake mi nmeumiaaa🥺
2026-08-24 10:44:10
20
flashvortex3 :
ila wajomba wanajiamulia sana mambo 😅
2026-08-24 10:26:52
8
kazunga :
Hilo darasa hamna kitu hapo
2026-08-24 12:12:15
6
Mayrah Juma :
hii ni mirembe ya watoto au
2026-08-24 16:12:54
0
Victor Mkiwa :
😅😅
2026-08-24 11:23:44
0
Mcute❤ :
Mwenzangu na mie anatakaa kuwa mnyamaa😂😂😂😂😂
2026-08-24 15:07:09
1
bartle ☠️ :
najua umeshika simu yako kwa mkono wa kushoto like apo we ni mwanangu🤣
2026-08-24 12:11:45
9
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.