@rynee.mchele: #mchelebora #nafaka #supermbeya #muuzanafaka #mchelemtamu

Rynee mchele
Rynee mchele
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 09:07:06 GMT
62001
2879
124
206

Music

Download

Comments

twiga272
Twiga🦒 :
Bas na mm nilipotaka kuanza biashara nilipata shida sana kujua machimbo ya kujua kuchukua nafaka🤣🤣🤣 mtu ukimuuliza anakwambia lipia lak 2 nikupe chimbo 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 ila nilipata mkaka mmoja alinielekeza nimeanza juzi tu naimani Mungu atabless
2026-08-27 10:42:33
35
wity.baraka
Wity Baraka :
classment wangu, respect sana
2026-09-30 18:22:11
2
jehovah993
Miracle :
Nataka kuanza hii biashara lakini ninavitu vingi nahitaji kujifunza naweza kuwa nakuuliza baadhi ya vitu🙏
2026-10-10 16:36:14
3
kuss894
labjax :
sister mm Ndo nimeanza ila naona kama biashara inakua ngumu kidogo naferi wap
2026-10-11 16:13:58
2
jamirafrancis
@jamirafransis :
hongera my dear
2026-10-12 04:53:25
0
annarahtubbies
annarahtubbies :
Weka part 2 mi najifunza ndo nataka nianze nisaidie jmn nasikiliza mm
2026-09-02 06:48:56
8
joyce.swai1
Joyce Swai :
dada samahan mm nataman kuaza plz nipe njia
2026-10-16 13:20:42
0
doceetrends
doceetrends :
jamani naombeni chimbo la maharage ya njano?
2026-10-04 16:05:09
0
sauda4602
user12738651423561 :
pole binti yangu mpaka kidinillo kweli ulifka jamni u ngefikia kwangu binti yangu
2026-10-15 06:35:57
1
its_.treasure
Treasure :
nahitaji kuwa dalali wa nafaka,nianze vipi?
2026-09-20 17:49:43
2
suleapeter
Suleapeter :
Hongera nimekupenda naomba uwe mwalim wangu
2026-08-26 11:24:31
3
barakaizra
Ezra♈️ :
asante dada angu stori yako imenipa nguvu😥🙏🙏💯
2026-08-24 16:47:20
3
wanjosun
@Momma Meows 🐱😻 😽😺💥🐱 :
Mimi napenda sana wabongo ,masomo au bila masomo wakiamua kutafuta ni wapambanaji ajabu.nikifanya kazi ofisini miaka ya nyuma nilichukulia wanawake watz ni wakujiendekeza wavivu wambea sio watafutaji,kupenda tu mashindano ya mavazi simu na kupigania wanaume,nilipoacha kazi ndo nilijua kwa kweli walio ofisini hawana lolote nje ndo Kuna wadada wanajituma ,pia wanaume wanajituma vibaya mno. hongera sana mdogo wangu,uko poa sana.
2026-08-25 06:20:07
10
user9746162856886
Tina🥰 :
naomba unijb dm
2026-08-25 12:45:47
0
lulumrema123vp0
princesslulu406 :
dada na mm napenda sana biashara ya nafaka
2026-09-03 06:19:30
1
user6830240030173
ney💗 :
upo mkoa gani jaman
2026-08-26 15:16:53
0
user3139096735158
baba abby :
dada huko mbeya Kuna Magali yanayo be a nafaka na yanapeleka tanga
2026-09-28 10:08:52
1
mic.wolker
Mic wolker :
Safii
2026-08-24 12:22:17
0
leocadiaenock188
leocadiaenock188 :
Dada mamb naomba nitumie no yako
2026-08-26 05:04:03
0
user2675823231762
Miriam stephen🌹🥰 :
na me napenda nifanye biashara ya nafaka
2026-08-25 09:45:36
0
user6534403311605
annacornely :
umenitia moyo jmn kwa Arusha wap location nzuri inaweza kuw na mzunguko
2026-09-10 01:03:25
3
qaaassimu
🌎 :
Nimekufollow
2026-08-24 18:39:22
1
user6563619540423
prisca :
jaman umenigusa na mimi nmeanza na gunia moja lkn mbaka sasa naona sielewi wap pa kuuzia,,yaan hadi kichwa kinauma
2026-08-26 17:04:19
1
plentytote8
Plenty Tote 👜 :
2026-08-24 18:15:34
0
user7253384999141
user7253384999141 :
kipenz namimi naomba unifundishe naitaji kuaaza hii biashara
2026-09-26 20:18:25
1
To see more videos from user @rynee.mchele, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About