@islamic_rihla: Katika ndoa, usianze kwa kuuliza: “Mke wangu anapaswa kunifanyia nini?” Anza kwa kujiuliza: “Mimi nimewajibika vipi kwake?” Timiza wajibu wako kwa ajili ya Allah, bila kusubiri kwanza mwenzako afanye wake. 🤍 Anza na jukumu lako. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US