@tistarbilly1: Ma champion tujuane kwenye comment

Tistar billy
Tistar billy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 09:54:05 GMT
47053
7374
750
119

Music

Download

Comments

kasikio1
kasikio :
hapo kwenye mpira umevuruga naomba tuheshimiane familia
2026-08-24 12:26:14
35
melekzedeckmathias0
melekzedeckmathia :
kwisha tupo wengi kaka
2026-08-25 04:41:41
7
sarudirhamog
KING 👑 LIBRA :
tengeneza video nyingine kama hii lakini usitaje mziki wala mpira itakua bora zaidi
2026-08-24 15:12:27
26
erickpaulo5256
ERICK PAULO :
mwanza familia
2026-08-24 10:11:08
9
bonamc553
bona mc :
mm ndo sina ata kimoja katy yahivyo ulivyo vitaja ila ufamilia na ww ndo sitaki yani sitaji2 maan sioni sababu yakua naufamilia na ww naona kama ntajiongezea majukumu2 me nawaza helatu siwezi kuwaza kua nnafamilia ingine ambae ni ww
2026-08-24 15:51:33
6
denisjuma93
denisjuma93 :
tuko pamoja mwanafamilia
2026-08-25 04:02:36
4
anily_shalom
@anily_shalom :
Ulianza vizur san lakin kwenye mpira apo umenikwaza na inabidi niwe mukali kidogo 😂😂😂
2026-08-24 11:59:39
7
harunmaheng2
crawn 🚘🚘🚘 :
apo kwenye dem sas tunaweza tukagomban wengine hatuna madem hat moja
2026-08-24 12:47:08
5
kid.hk8
Is hedian HK@msafi :
kama wew ni ndugu bas namim ndugu yako
2026-08-24 13:18:36
2
mr.skilled
Mr.Skilled✊🏾✊🏾✊🏾 :
Aaaah FAMILIA😂😂😂 Nafsi tuliaa,sema nini MACHAMPION ni wachachee sanaa. 💥RESPECT SANA KWA WALE FAMILIA WOTE NA MACHAMPION WOTEE✊🏾✊🏾✊🏾 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
2026-09-29 11:40:10
3
sk.batt1
SK BATT :
una download au una agalia uko uko ?
2026-09-04 19:43:44
3
amossela06
✨Amos sela🎮✨ :
hapo kwenye mziki na mpira kaka umeniacha
2026-08-25 18:47:19
3
beckham0990
mapenzi chenga :
oya mwane2 mm nakubali sana man kimm umenifunza vitu vingi man Allah akuongezee maisha malefu
2026-08-24 10:29:54
7
majesejr
MAJESE JR :
mpira tena😳
2026-08-25 12:05:26
4
user9409266115541
Amantz :
wanaume tujuane kwenye like familia
2026-08-30 17:42:45
3
danielle.kambale4
Danielle Kambale :
wengi wata bisha sababu hivyo ni vitu ambavyo vijana wengi wana vi penda sana lakini sisi ambao tume amua kui oneya huruma future yetu basi tu juwane.
2026-08-26 20:53:38
3
john.morris7512
Mr j brandy kinondoni🤙🌹🤙 :
ww hapo kwenye mpira na siasa ndio ulipo feri chapioni siasa ndio maisha kaka huwezi kuishi bila siasa kaka razima uijue familia🤙🤙🤌🤌
2026-08-30 23:27:17
2
yusuphmarka
Yusuph Marka :
familia ndio mimi huyo 😎
2026-09-14 02:34:35
2
wiliammathias755
jefmesha06@imel :
yan kama unajua
2026-09-21 21:59:10
3
jaycomedynatz
JaycomedyNaTz🥺 :
Kaka wewe nizaid ya Mwalimu❤️‍🔥🙏🏿
2026-08-26 06:50:54
2
mkowabarut1
Mududu wa mungu :
waga siend ata wanakuja sana
2026-09-22 21:18:19
2
juveceazer
JuveCeazer :
kwenye mpira umenipunguza mzee me kuucheza na kuushangilia ndio vitu vyangu
2026-08-24 15:02:50
2
emmanwer.chares
Emmanwer chares :
owaaa🫡🫡🫡
2026-09-11 12:36:17
2
arch.ap0102
Arch.AP :
me familia...🫡
2026-08-25 03:56:40
4
henerico228
silent zone :
Tabora familia
2026-08-24 13:48:23
1
To see more videos from user @tistarbilly1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About