@officiallzamba: @cholo🚛🦺 @𝗠𝗩𝗨𝗝𝗔 𝗝𝗔𝗦𝗛𝗢💪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪

😎Hussen zamba🍂👊✌🏻
😎Hussen zamba🍂👊✌🏻
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 10:02:56 GMT
112442
4822
472
570

Music

Download

Comments

maikochitanda7
Maiko@chitanda :
shida posho
2026-08-24 14:48:45
0
bashilu56
buchwa boy🤲 :
achek kutafut comment sio wot wap ivy 🥺
2026-08-24 11:57:56
0
saidithabiti2
saidithabiti975 :
posho unampa shingapi?
2026-08-24 11:20:55
24
einstein5_
Einstein_1 :
mwizi huwa hapendi kuibiwa📌📌📌📌📌
2026-08-24 12:28:53
45
roadlife96
road life 🛠️™️ :
nimependa tu nidhamu yake ya kuadhibiwa na kukubali ila ungemhoji Ana shida gani wengine wanapitia magumu.
2026-08-24 11:18:51
154
mwanah001
Unforgettable 🥷 :
wengi wanamlaum lakn huwez jua huyo dereva wake yukoje wengine wanabana sana anyway Mwenyez Mungu awafanyie wepes wanaume wote wanaojitafuta
2026-08-24 11:43:00
47
mwachala66
davis mmwachala :
usiwe mkali hivyo pia wewe unafaa kuelewa fuel siphoning is a global challenge to all drivers and plant operators in Kenya
2026-08-24 18:46:27
0
side1hz8
Side1Hz🇹🇿🛣️ :
Maisha ya mwanaume sku zote hayajaumbwa kuwa mepesi 💔 pengine hajapenda kuiba ila dah mungu azidi kuwa na ss kwenye ridhiki zetu
2026-08-24 11:25:39
62
user7214818547016
💝 waah 💝 :
I'm feeling pain😭😭
2026-08-24 17:39:02
0
nanaligarke
Nana Ligarke :
Sometimes posho ndogo sana
2026-08-24 19:30:57
0
goodluck36907
Goodluck :
Shida posho
2026-08-24 17:08:29
0
lommycute1
🎀lommy🎀 :
mpenzi wangu samahani mm ndo chanzo cha mpaka wewe kupigwa sitakuomba ela tenaaah😭😭
2026-08-24 12:13:43
26
sydath4
sydath :
Daa! wezii wenzangu tuwe makini jamani😂😂😂...
2026-08-24 15:50:27
15
mchina861
Q MABA_MSAFI_Tz12 :
dereva akiiba ana shida Ila Dunia 😂😂
2026-08-24 11:22:33
12
mrwaya48
𝚖𝚛 𝚠𝚊𝚢𝚊 💡 :
ℎ𝑖𝑙𝑜 𝑚𝑏𝑜𝑛𝑎 𝑑𝑜𝑔𝑜
2026-08-24 12:18:30
5
zaynab.cute0
Zaynab cute :
Duuh wanaume wanapitia changamoto
2026-08-24 11:13:19
9
user75212828656556
motto 560 :
posho.mnatoa awezi kuiba kama unampikia posho nzuri
2026-08-24 20:12:36
1
dicksonzacharia93
Dickson Z :
Kuna kampuni moja boss akikufanyia test anakuuliza vp ulishawah iba mafuta ukisema hapana huna kazi so madereva wote mshaiba mafuta iko hvyo
2026-08-24 11:39:26
7
meshack0628
mnufaika :
dar kumbe wa hom ila kazingua sana sijapenda kabisa tamaaa mbaya sana dar si wengine tunaipenda hiyo kazi sema bas tu tumekosa connection
2026-08-24 11:30:42
0
love59776
love :
jamani msafa wawatu kaibiwa
2026-08-24 20:25:03
1
meamoreteamore
meamore 🐈‍⬛🩲 :
bwanaee hamuwapi era nzuri bhana
2026-08-24 18:08:14
4
elisha.kihomwe
Elisha Kihomwe :
hapo mm naona kwa upande wangu nikipigwa ngumi 1 najua Sina cha kupoteza nitashambulia balaaa ..kwasababu uwaminifu usha potea kazi isha potea kilicho baki nikulipa kisasi...unyonge gani kupigwa unapigwa na kazi huna sasa kilicho baki?
2026-08-24 12:48:30
2
mshanibeatrice
mshanibeatrice :
Amtaje na anaemuuziaga
2026-08-24 12:58:31
0
kamambi4394446525929
kamambi@nsonojr :
siungi mkono wizi 🙌 ila madereva wengi mnawabana sana wanetu wanaojitafuta mwana anaeza kaa miez miwili kwenyegar bila kulipwa wala kupewa chuma asogeze anyway tubadirike
2026-08-24 12:43:49
5
user3315850965952
samton papa :
Sasa ona huku kenya ufiki😂
2026-08-24 19:04:49
0
To see more videos from user @officiallzamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About