jamani mimi pia mwana simba ila alicho fanya sele sio kosa mpila ni kazi kama kazi nyinginne kama mtu kapanda sana lazima uhangarie pesa ila mapenz yanabaki moyon azam singida wapo wachezaji wanaipenda sana simba lakini wako kazin
2026-08-24 12:16:47
15
user9733741881020 :
Usilieeeeeee 😂😂😂
2026-08-24 19:02:13
0
Dipro j4 :
jaman mi Simba damu ila hapo nimtetee kidogo,,hapo selemani mwalimu alikuwa Yuko kwao Moshi Ani uwanja wa Mandela pasua,hapo alikuwa analia sababu ya kukumbuka kipindi anacheza hapo uwanja huo na rafiki ake ambae Kwa Sasa hawapo pamoja,, Kwa hiyo wanasimba tupunguze complain 🙏🙏🙏🤐🤐
2026-08-24 18:32:05
5
yusufumtima :
weweeeeee
2026-08-24 10:33:30
1
user7790317514992 :
usilieeee
2026-08-24 10:31:01
1
Lightness Ma Dori :
Selemani bado wanasimba tunakupenda sanaaa ludi nyumban jamani
2026-08-24 10:32:13
4
chuga girl💕💫 :
😂😂😂na bado
2026-08-24 10:27:02
5
Marcela Kinunda :
simbaa nguv mojaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-24 11:20:14
0
Edina Njaku :
wanasimbaa
2026-08-24 11:24:41
0
Regina :
Maombi yangu Mungu kaanza kuyajib niliomba asifanikiwe
2026-08-24 17:51:49
1
jesca#30 :
kuna nini tena huko jmn
2026-08-24 18:08:21
0
sakina :
umenifurahisha hd nimekufollow
2026-08-24 12:17:17
0
Vanny G🌹 :
umenifurahisha jmn🤣🤣🤣
2026-08-24 12:09:58
0
user9324874108551 :
nakukubali sana mwanang wa faida hongra sana ❤️❤️❤️❤️
2026-08-24 12:31:01
3
To see more videos from user @gracesimba8, please go to the Tikwm
homepage.