@batibombatanzania: SWALI AMBALO WATEJA WENGI HUULIZA 👇 “Je, kwenye BANDO huwa zinakaa bati ngapi?” 🤔🏠 Haya ndiyo makadirio kwa kila gauge: 🔹 Gauge 30 → Bati 16 🔹 Gauge 28 → Bati 12 🔹 Gauge 26 → Bati 10 🔹 Gauge 32 → Bati 20 Kwa hiyo kabla hujanunua bando, ni muhimu kujua gauge na idadi ya bati zinazopatikana kwenye bando. 📌 Hifadhi hii video kwa ajili ya kumbukumbu, na mtumie mtu anayehitaji kununua mabati. #Mabati #Gauge30 #Gauge28 #Gauge26 #Gauge32

BATI BOMBA TANZANIA LIMITED'S
BATI BOMBA TANZANIA LIMITED'S
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 10:45:10 GMT
3690
42
3
1

Music

Download

Comments

barakarodrick1
Baraka Rodrick :
ok umeeleweka zi nakua nafutingapi mkuu
2026-08-25 16:30:30
0
To see more videos from user @batibombatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About