@love.movie84: Replying to @Reynah*** 🇹🇿 Replying to @Reynah*** 🇹🇿 Me ninacholaumu kwa Asye ni kwamba kukubali kurudiana na mtu ambaye hakuwa na wazo hata la kurudi mpaka alipowaona ndo anajitia kuipenda familia yake… Tujifunze kuachika wanawake kulazimisha mambo ndo kama hivi 💃🏽💃🏽 msiniseme naumwa kichomi ntammiss ugur na zehide wallah🥰 asanteen wote tuliokuwa sambamba nawapenda sanaa 😍#viralreelshashtags #trendingtrends #turkishme