@mdepox_buses_tz: ROAD LIFE 🛣️ ALLY'S STAR BUS PRIDE OF SHINYANGA #mdepox📸 #dodoma #shinyanga #mwanza #mbeya

MDEPOX BUSES TZ
MDEPOX BUSES TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 11:03:39 GMT
71666
2256
203
313

Music

Download

Comments

sayimacoye
VOZINHA :
argetina saiv tunaenda na allys star au cyo
2026-08-24 20:10:00
0
samstig2
Stig jr :
Chalamila 1-1 Bus dk 65 ally's anachomoa
2026-08-24 20:28:33
0
addylav1
addy :
kwahyo ikifika south africa inapanda meli na abiria wake adi agentina😂
2026-08-24 12:05:03
49
mrdevante1
devante :
😂😂😂 Sasa Kila basi likifanya hivyo si ni vile vile tu kama mwanzo
2026-08-24 12:53:05
59
manuel_827_
MANUU :
huyy mbn kama alijua kua safar ztaamishwa akajipang kabsa😂
2026-08-24 12:15:10
20
amina.nawab7
Emmy🦋 :
Na katarama kile kidogo akifanye daladala
2026-08-24 19:10:39
8
sauleema2
sauleema :
ratco alikua mbele ya muda
2026-08-24 13:05:33
10
fatumajngo
fetty Agent :
ila Ally's 🙌🙌🙌🙌
2026-08-24 12:35:47
0
iamluvanga
iamluvanga :
hiyo ni pale manzese Argentina... Hongera kwa Boss, sababu huwezi Jenga jengo la gharama kiasi kile afu liishie kulaza mizigo
2026-08-24 13:19:06
19
intelligenceofficer09
Dayana :
jamaa hawataki kukwaza abiria ni bora aingie gharama ya dereva ila si kukwaza abiria
2026-08-24 19:16:32
6
emmaseba
emmaseba :
Ally’s anamatusi sana😂
2026-08-24 13:48:55
9
trinah2023
cutepie :
nimekiona leo mchana kimenipita nikasema hiki kiemoro cha kwenda wapi tenaa🤣🤣🤣
2026-08-24 13:43:30
14
musoma__icon
SINGELI YETU 🎙️ :
linapita na brazili au
2026-08-24 12:32:28
10
7rahmani7
RAHMAN 🐇🦺 :
big route doooh iyo ikifika daah inapaah kwenda uko Argentina nn
2026-08-24 11:11:03
6
j.african.boy
j african boy :
sasa ngoja niongee na kiongozi ata izo atuzitaki
2026-08-24 12:59:36
9
navie255
General Ford :
Hakuna kitu kinamshinda mbongo😂
2026-08-24 13:22:54
7
babaannastazia_sia
BABA ANNA² :
hii ni bus au ndege😂😂😂😂
2026-08-24 13:25:27
5
mshuzah
𝐦𝐬𝐡𝐮𝐳𝐚𝐡 :
ajira nyingine hii,boss lazima aajiri madereva wa hizo shuttles
2026-08-24 12:08:47
5
blown038
Emmanuel6 3062024 :
Huna cha kuwazuia ukipanga hivi wenzako wanakuja hivi yote hii ni kujali abiria wake asipate shida pongezi sana kwa ally’s star na uwongozi mzimaa🥰🥰
2026-08-24 12:34:12
8
nasonmtanzania
Nason_the_NBF :
sas aumeweka hiyo ya kucheka ukimaanisha nini?! hata sioni cha kuchekesha hapo
2026-08-24 20:31:06
0
kante7433
kante🇰🇪🇹🇿 :
ally star ni haki yak kufanya hiv yan kajenga booking office yak kubwa alaf akatazwe kupakia abiria kajiongeza sana
2026-08-24 20:06:04
0
andrewndomba2
Andrewndomba :
Tanzania ukifa kwa stress umejitakiaa wew Argentina mbezi iyooo ruti mpyaa
2026-08-24 19:18:19
3
salimmiguel4
🆂🅰🅻🅸🅼🅹🆁 :
Argentina kvp😂😂😂
2026-08-24 13:05:07
3
user6122468459094
candy🌺 :
Falme za kiarabu hazijawahi kufel 🔥🔥
2026-08-24 14:43:48
2
To see more videos from user @mdepox_buses_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About