Kweli duniani hakuna anaweza kukaaaa na siri zako mpaka chartgpt mmbea😂😂😂😂😂
2026-08-24 16:32:00
73
Miss pink 💖🎀 :
Ngoja nikamuulize chart gpt kama amemchoma kweli
2026-08-24 15:05:22
126
tina :
weeeeee usinambie🤣🤣🤣
2026-08-24 18:09:34
0
Ailen Cronery :
Kila m2 na chatgpt wake bhana
2026-08-24 18:26:20
1
Slam :
2026-08-24 15:47:26
9
Love ammy🛍️🦋 :
😅😅chat gpt nakublock
2026-08-24 15:30:16
16
j mo br@nd :
saw kam kwel
2026-08-24 19:00:57
0
🎙*DELLOH*🎙 :
snitch chatgpt sio mwanaa ata kidgo😳
2026-08-24 15:57:57
0
Abadi M. Masito :
mi nashangaaga watu wanavyo chukulia app kama mtu, yan chat gpt akamchoma.!! chat gpt alichokifanya!! 😝😝. hizo ni software so dont need express your feeling. dont share your personal info & secret to software!
2026-08-24 17:16:54
0
zainabu daudi :
ambao hatuelewi tujuane
2026-08-24 18:49:15
3
Amrani Senzota :
Kweli bhana kasema hausiki😂
2026-08-24 19:00:37
5
zigeonlover :
bc simuamini tena uyu chatgpt kwanza nanfuta kwenye sm yangu asante kwa kunijulisha mana ninamazito namwambiaga kumbe mmbea😂😂😂😂😂
2026-08-24 15:39:03
15
mom aby😘 :
kumbe anachoma watu😳
2026-08-24 14:23:16
9
Shurya cute🌹🦋 :
2026-08-24 18:21:51
0
hunter never rest :
aaaaah 2po wengi broo hahaahha
2026-08-24 17:23:22
2
cutiepie :
Kumbeee ni mmbeaaaa
2026-08-24 15:18:05
5
user357410054610 :
kwani chat gpt ndio nani😂😂😂
2026-08-24 18:31:08
0
Astrey😍 :
aghaa😂😂😂
2026-08-24 18:51:41
0
Peter kaponda :
chat gpt sio mwana ni snichi😁😁😁
2026-08-24 19:03:48
3
Mary❤️❤️ :
mm nimekuliza kagoma kasema sio yeye mbea 😂😂
2026-08-24 18:26:09
0
king Amoifa :
kweli kk mm jana kanichoma kwa demu wangu
2026-08-24 15:20:58
2
Vee🦋 :
Uwongo ChatGPT hawezi kubali maswali kama ayo
2026-08-24 18:16:32
1
To see more videos from user @mzabuni255, please go to the Tikwm
homepage.