@eternalinternationalhq: Kisukari hakianzi siku ambayo unapimwa na kuambiwa una kisukari. Mabadiliko yanaweza kuwa yameanza ndani ya mwili taratibu bila hata wewe kujua. 👉🏽 Save na share video hii ili mtu mwingine naye ajue kinachoendelea ndani ya mwili wake.