kunasiku piah nilitoa mpira njee mwenye mpira akasema nipenalt kam hautak toka njee
2026-08-26 19:10:41
80
Haruni Betweli :
umesahau upande mmoja kama atakuwa amezidi mmoja wakifunga goli anahamia upande wa waliofungwa.
2026-08-26 07:33:05
68
LUDz Gaming :
umesahau ikitokea wachezaji wamegombana, mpira unasimamishwa tunashabikia kwanza ngumi, na ngumi haziishi hadi mpita njia mtu mzima aje aamulie. Akisha amulia ndo mpira unaendelea 😁
2026-08-26 06:40:55
47
Boniphace :
daaaaaaaaaa jaman nataka kupasuka hapa mbavu zangu mimi😂😂😂😂😂😂😂😂 nakumbka mbali sana jaman
2026-08-28 12:21:59
7
3rd abdurlazaaq :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bigg up bro
2026-08-24 18:21:09
5
Kassim Mwitu :
timu ilioshinda inakimbizwa mpira ukiisha
2026-08-27 10:49:05
9
Ahadi Pr08 :
umesahau mpira ukitoka anaewahi ndio anarushaa 😂
2026-08-27 10:13:08
13
mudriqilias :
kuna siku nishinda hatrik mwenye mpira akasema ingia timu yetu na hayo magoli yako ni ya timu yetu na tukasikiliza
2026-08-28 11:38:02
17
Mackrino Merino :
dah sahihi Sema ntakufollow kesho sahv npo nashiriki tendo la ndoa
2026-08-24 18:16:50
16
Emmy Jacob :
nice 👌
2026-08-24 14:53:14
4
Dikison Gaudine :
Ahhhhhhhhhhhhhhh kira shelia imenivunja mbavu
2026-08-27 14:45:34
2
isaya Joel :
mm ndo nilikuaga golkipa tegemeo ata kama nachunga ng'ombe inadidi nitafutiwe mchungaji wa dharura ili nidake tu na ukinifunga golo sjajiandaa naikataa sio goli
2026-08-28 10:20:13
11
Ezequiel marc :
nakumbuka kuna siku mweny mpira aliitwa kwao akasema nikija tutaendelea nasis tukamsubili😂😂
2026-08-28 13:48:32
7
Ipyana Mwakasagule :
Daaah nimecheka sana umenikumbusha mbali sana 💯💯
2026-08-26 17:36:46
8
Wizzy Msafi :
Nimejikuta nacheka sanaaaaa kwakua yote uliyoongea sahihi na tumepitia haya hakika dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mpaka chozi limenitoka
2026-08-27 12:27:29
9
Jesca_p21🌹 :
nimecheza San iseee ingawa mm ni wakike ila kila siku nilikuwa sikos boli mtaa kwetu
2026-08-24 19:40:08
8
GASPER WRLD ✨ :
Na mwenye mpira akiitwa na mama yake mpira anasimama mpaka arudi😂😂
2026-08-27 14:38:52
2
BINTkarungi90 🥰💝💝 :
mi mwenyewe nilipo mbavu Sina nakamà MNA bifu hauingii uwanjani
2026-08-27 20:06:32
1
M 2the K :
lstoshe supa staa mukimpitia kwao kama kapewa kazi inabidi mumsaidia mpaka iishe ili muondoke nae
2026-08-28 14:40:29
3
Grayveel :
umenikumbusha mbali sna
2026-08-24 12:44:56
4
dogo Tz :
very good
2026-08-24 12:30:08
2
Edwardcharles Edwardcharles :
umesahau nyingine ukikosea mwenye mpira anakutukana ukimrudishia anakutoa nje ukikataa anashika mpira adi timu nzima ikutoe ndo mpira uendelee
2026-08-28 10:43:27
4
I'm k :
umesahau ile mwenye mpira akikuona umepiga shuti kmzid yye la nguvu unatolewa kweny machi ety utapasua mpira