@dr.rich28: Pata suluhisho la uhakika la kurejesha afya na nguvu zako za asili leo. Wasiliana na Afya Prime kupitia namba +255 757 955 569 tukusaidie kuchukua hatua sahihi kwa ustawi wako. #trending #afyaprime #outfit #videoviral #tiktoktanzania🇹🇿

AFYA PRIME
AFYA PRIME
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 12:29:09 GMT
53383
2042
57
118

Music

Download

Comments

shukuru947
shukuru94 :
hutakiwi kusikia njaa lakin kula asubuhi ni muhimu kwasababu muda mwingi tumbon chakula kimeisha
2026-08-25 06:50:51
1
halfanhussein1
Halfan Hussein :
Kwa nini sasa tunakula daku 😂
2026-08-26 13:11:52
1
rehemakoko1
mama 4 four :
Sasa mimi mbona Kuna mda nasikia njaa mpka kichwa kinauma jaman
2026-08-24 15:39:28
1
officialsadati1
Sadati  :
Mbn mm saa3 tu nina njaa mpk natetemeka😂
2026-08-27 07:27:36
1
user7588057666063
dida love :
nikweli kabisa mana mm asubuh silag yan atakue na kinafunio kitam mm nakula saa tisa au kumi jioni ndo naanza kula
2026-09-03 09:20:40
0
miss_.ema4
R_ylin_. :
kama ni mgonjwa
2026-08-24 14:33:04
0
venancemgosi
venancemgosi :
Unatakiwa kuhisi sio kuisikia
2026-08-29 19:12:21
0
burhanimaulidy123
x828tdy3fy3oyfoehcowhco :
mi na vidinda tumbo sintakufa jaman
2026-09-02 12:25:45
0
agnesssamson0
[email protected] :
mi huwa nasikia njaa kuanzia saa tano asubuhi
2026-08-26 11:38:59
0
sebauv48
seba23 :
uzush plus
2026-09-03 00:52:58
0
maryamhasheem528
Maryam Hasheem :
mm chai nakunya saa tano au mara nyingine sinywi
2026-08-29 10:32:27
0
sweatashiiiii
Ashi mashauzi :
ila dunian wawil wawil utasema baba ak ank T wamefanana
2026-08-27 12:26:49
1
dalalidaressalaam378
dalali ubungo,mbezi ,goba :
hizi hormones zinajuaje saa5
2026-08-30 20:24:23
0
nex12005
Nex :
kweli m huw asubh siskii njaa hadi mchana
2026-08-26 10:13:56
0
1989stella
Ngalai stella :
mmh
2026-08-27 14:48:39
0
agnesssamson0
[email protected] :
kabisaa kabisaa
2026-08-26 11:38:05
0
user9234854603829
janet collection :
iyp homoni inajuaje saiv ni satano?
2026-08-26 23:27:26
1
strongmantktk0
BIG 👟🩴🥿👡VIATU :
kama kuwa na afya ndo kuwa kama huyu Mzee hapana kwakweli
2026-08-26 05:24:23
1
dhulqarnain2020
Dhulqarnain2020 :
Huyu mzee huwa hapigi cha asubuhi ndio maana anasema hakuna njaa ya asubuhi. 😂😂😂
2026-08-26 04:48:06
1
afyatips.tz
Dr Gekura :
Hivi homoni inajua kuhesabu saa? Inajua saiv ni saa ngapi?
2026-08-25 04:47:27
1
ramji9998
ramji :
Wet dreams is just looking at you😂😂
2026-08-27 19:54:41
0
feisal.ricardo
Feisal Ricardo :
kizee kiongo ongoing iki 😂
2026-08-27 16:02:39
0
ramji9998
ramji :
Ngoja upate wet dreams😂
2026-08-27 19:54:20
0
user5304929905756
user5304929905756 :
je dawa za sukar unatumia asbh au mpaka upate chakula mchana
2026-08-24 21:14:00
0
mchagaa38
Sia :
Na kwel hamuna njaa asubuh na ukiwez kudhinda hapa basi
2026-08-25 12:48:43
0
To see more videos from user @dr.rich28, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About