@itsdeen5: #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypp #mtwara #foryoupage

Deen🧬✨️
Deen🧬✨️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 12:48:01 GMT
53784
2250
268
74

Music

Download

Comments

rebbieyaredy
rebbie🦋 :
my situation now💔😢😢
2026-08-25 12:22:09
2
user8460065887426
Christina :
😭😭😭nikikumbuka nasemaga nipambane tu kunasiku mama yangu atainjoy na atafurahia mm kuwa mtt wake 🙏🙏
2026-08-25 14:07:15
24
suzana.makolo
Suu Tz Collection :
Kwani Nalilia nini😭😭😭 Mama Alikuaga anafanya hivyo tunajuwa kweli Hana Njaa kumbe anafanya c Tushibe 😭😭Sasa hivi ndo Nachopitia Mimi😭😭 Kuna Muda Nawaambia Wanangu kuleni tu Mimi Nimekula Kazini kumbe na Njaa hadi Tumbo linauma 😭😭
2026-08-24 16:57:55
25
elizabeth.ediwin
elizabeth ediwin :
😭😭😭😭Mungu azidi mpa maisha marefu mama ang na wamama wote popote walipo
2026-08-25 08:27:59
18
effort2815
Effort📌 :
TUMEPITIA HUKO WENGINE. NAMUOMBEA MAMA NA BABA WAISHI MYAKA MINGI ILI wale matunda yangu
2026-08-25 13:41:27
5
monica.mshosha
Moniels Mshosha D :
mungu wabariki wazazi wetu
2026-08-25 09:06:14
6
storywithrose
miss Shayo :
Mimi adi saiv nikipika chakula nikipakua afu hakitoshi me nasemaga nimeshiba
2026-08-25 19:10:40
1
user9293630449272
Digna :
😭😭😭 R.I. P mama yangu kipenzi, nilikuja kujua baadaye sana
2026-08-25 09:13:13
6
mom.mirabell
Mom ❤️Mirabell ❤️ :
Mama Angu MUNGU akupe maisha malefu umelala njaa Sana kwaajili yetu Nawew uje ule matunda yangu ♥️♥️♥️♥️♥️kama hujapitia haya huwezi elewa Aiseee 🙏🙏
2026-08-25 11:42:35
6
22ginna1
GINNA :
duh wazazi wetu mungu awa weke sana ndio mana niliamua kumchukua mama angu kukaa nae kwa lolote kivyovyote tafanya ile na yeye afurahi coz ameteseka sana na sisi
2026-08-25 10:29:52
5
hdadarite
hdadarite :
Acha tu
2026-08-25 15:23:19
1
user15163641432743
amonpeshauser1516364143274 :
mungu amulaze mahar pema pepon baba angu mpendwaaaa
2026-08-25 15:34:00
1
elizaelisha2
cutelizy :
Au unasikia wanangu kaeni muanze kula nakuja bado nna kazi
2026-08-25 16:38:17
2
teddy.anne3
teddy anne :
Namuomba mungu anilindie wazazi wangu ninavingi vya kuwapa
2026-08-25 12:29:33
2
rosemarymanento
Rose Mary Manento :
umeniliza hawajui machunhu unayopitia ukiona hawajashiba niache tu au huna hata mia wala hujui utatoa wapi hela unawazuga mida ya kulala unawaambia kalaleni wanangu alafu wanakuuliza mama hatuli ? acha inavouma
2026-08-25 15:34:25
1
sarah.massawe44
Sarah Massawe :
mama yangu mm ndo yupo ivo inauma sana
2026-08-25 09:38:08
1
leah.mayunga
Leah Mayunga :
mungu awape maisha marefu wazazi wetu awajalie riziki
2026-08-25 11:26:53
1
sally27551
Sally :
Bibi yangu nampenda sana tena kuna siku nikimpigia simu lazima nilie au niongee kinyonge kwa kumbukumbu za nyuma,Mungu amtunze.
2026-08-24 20:13:59
1
milika289
Milka :
mi mwenyewe siku iz naweza lala njaa wanangu wale kwan kuna roho flan inakujia ya huruma
2026-08-25 09:25:31
1
maria.mdamba
Maria Mdamba :
😭😭😭😭 endelea kupumzika kwa amani mamaangu 🙏🙏🙏
2026-08-25 07:17:38
1
mis.ney4
mis ney :
isha mkutaga bibi alisema tule yeye kashiba ila ss yamenikuta mwenyewe. nawaambia wanangu kuleni mkishiba ndo fraha yangu😭
2026-08-25 11:57:43
2
estergiraffe0
EsterGiraffe machange👅👅💋💋 :
uyo alikua bibi angu.......😭😭 nkamjulia na mimi nakula kidog nmeshiba nampa anakula yey...... 😭😭😭 apumzike kwa amani bibi angu
2026-08-25 12:59:56
2
elika.hassan
Elika Hassan :
kawaida sana hyo na una feel comfortable ukiona mtoto kashiba...me ntakunywa ata maji kuliko mwanangu akasimame mlangoni kwa jirani...Mungu atujalie wamama wote uzima tusogeze wenetu wakue🙏...
2026-08-25 11:25:53
1
To see more videos from user @itsdeen5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About