@tasherskin: Usimuamini mtu linapokuja swala la mtoto wako🙌

Tasherskin
Tasherskin
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 12:57:26 GMT
547838
48764
2720
3923

Music

Download

Comments

zenakomba1gmail.c
mama p :
🤲mungu atupe umr mrefu tulee watto wetu kwa umakin had watapoweza kujitmbua n kujitgemea.
2026-08-24 17:20:59
979
venahabel1
Venahabel :
mtu pekee nine mwamini kwa mwanangu ni mume wangu na mama yangu mzazi bc
2026-08-24 20:28:19
105
praqdapeace
praqdapeace :
nmeacha kaz nmelud nyumban kumlea mwanangu 🤦
2026-08-24 15:21:36
400
salher70
Salher🌺 :
ndo maana stak mazoea na mtoto wang acha waone naringa
2026-08-24 18:02:28
305
user9116025566660
lizyleeh❤ :
me nilikuta jirani yng anamnyonyeshaa mtoto wangu
2026-08-25 08:37:15
50
itslizy19
I'm lizy🦋💞 :
don't trust anyone 🙌😎
2026-08-28 08:34:27
2
mrsyaasir0
Galby :
rule number one dont trust any one
2026-08-24 22:10:16
57
jeddy608
jeddyoscar :
mtoto kamkosea nini jmn walimwengu
2026-08-24 19:14:37
66
princess.rey82
princess rey🌹❣️❣️ :
Mungu nilindie mtoto wangu😢😢
2026-08-25 11:42:00
239
onne2026
Rama2026 :
pole sn
2026-08-29 01:19:17
1
maria_njau
Mama Nabil🦋 :
Mimi uuwiiiii Mungu anilindie mtoto wangu 😭 tangu nimepata mtoto nikisikia kisa cha ukatili wa mtoto tumbo linanikata 🥹
2026-08-24 17:08:28
186
mishey.dimpo
❤️🦋MISHEY THE BRAND ❤️🦋 :
lkn uez kupata ugonjwa kupitia mswaki jmniii
2026-08-24 13:35:23
12
rmwem
user2907529996428 :
mwenyezimungu atamsaidia huyo mtt
2026-08-24 17:42:29
84
gianmom
💕Gian mom👄 :
tuwafiche wapi watt wetu jmn🥹💔🙌tunaogopa mpk kuzaa jmn
2026-08-24 15:43:59
189
merlin_jr23
merlin jr :
huyo mama alifanya makusudi kabisaa alidhamiriaa hivyo.. Mungu amlaani..
2026-08-24 15:34:24
51
zay2nazizah
GOODLUCK :
🥺mtu alike hapa . aki natamani kuskia mpaka mwisho. hila ndio nipo kazi ya watu kuitwa kila time. nitaskiza usiku nikienda kulala
2026-08-24 17:48:02
241
ikaah22
Angela :
uwii kiatu cha huyo dada kizito, Mungu amtie nguvu
2026-08-25 11:37:31
41
jenny.paul15
mrs paul :
mungu nipe umri mrefu nilee watoto wang angalau wajitambue
2026-08-28 05:37:37
9
ishermamy_collection
IsherMamy Collection :
Nitambeba Shaymer kariakoo hata kila siku😂😂😂 huko barabaran wanichambe waseme mpk watafte vipaza sauti😁😁
2026-08-25 09:15:32
25
._ishaya390
Aيsha 🦢.• 🦚 :
Nakupenda ww dada unajipenda mwenyewe tu 🤭🥰
2026-08-24 17:45:14
32
row_sielolo
Rowzn💕 :
Yesuuuu yesuuuu😫 nimeumwa tumbo
2026-08-24 15:16:32
35
bint.chaz4
bint chaz :
hata mimi nilisha waiii kumuamin mama jiran yangu akampa mtoto wangu sim sema mungu ni mwema alipo mwanangu 🙏🙏🙏
2026-08-26 18:34:05
6
sarah.maxmilian
💞💝sarahmax🌹🌺 :
daah adi nmeogopa yan adi nmelia inauma sanaa🥹🥹
2026-08-24 22:47:06
7
seiro747
disera :
eeeeh mwenyez mungu naomba anilindie watoto wanguu wajao na watuu wabayaaa🙏
2026-08-25 09:27:35
24
jamirasalumu650
Ladymam :
jamani inauma sana hadi machozi yamenitoka kama maisha magum tupoleke watoto kijijin bora alelewe na bibi yake
2026-08-24 17:51:44
30
To see more videos from user @tasherskin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About