apo ungewaambia waliokuuzia hao kuku kuliko kuwaharibia biashara
2026-09-20 12:27:49
31
Natha lollo🥰 :
nyie mnaosema wanaharib biashara za watu nyie hamuoni wao wanavyoharibu hela za watu
2026-09-20 18:16:10
34
reystaar0 :
Sio vizuri kuharibu kampun ya watu kama uwezi kula ungeacha kula na usinunue tena basi au ungewafuata hapo hapo ulipoagiza uwaelekeze wajirekebishe kuliko kuharibu biashara ya watu mtandaoni
2026-08-25 08:54:36
136
polina :
hiii KFC ya wapi kipenzii nenda yapale manzese utaenjoy mom
2026-08-24 15:54:52
74
Guantanum boy🤓 :
mmmmmh
2026-09-19 11:21:16
0
Secho Cleaner :
co kweli bhn,wapo vzuri sn KFC
2026-08-24 14:44:14
48
preaty ammy :
dada acha kujiamulia mambo ngoja wakushtak
2026-08-24 19:08:34
17
laika :
Ukisimamishwa mahakamani utaweza kutetea hoja yako binti yangu ???😩😩 Kampuni zingine hazitaki mazoea Haya 🙏🤌
2026-08-25 05:34:18
53
Frida :
kwa KFC dada uwongoo wako vizur labda sjui ni KFC ipi hiyo
2026-08-24 18:56:43
26
_Seeny_Store🎀 :
Kipenzi una mwanasheria mzuri😂
2026-08-29 11:43:02
11
ridhy :
iyo nlikutananaiyo ZEBRA 🥹😭🙌
2026-08-24 15:36:53
11
jeymin :
usitudanganye
2026-08-25 07:45:04
1
✨️🌹Anny🌸love🌹✨️ :
15/15
2026-08-27 15:03:51
0
🦋 NEEMA 🦋SHABIR 🦋 :
10/10
2026-08-24 19:15:30
0
~she~is~sarah 🥰 :
Jarbu wa marrybrown 🥰
2026-08-24 20:57:38
5
✨️🌹Anny🌸love🌹✨️ :
10/10
2026-08-27 15:03:46
0
zaytudah :
Mm niliongea sana wakasema me nadanganya tena cyo kfc tuu hata kukurico wanawapika na moto mwingi
2026-08-27 22:16:33
6
baby emmy❤️❤️🙉 :
10/10
2026-08-31 09:18:59
0
fauzy🥰 :
10/10 guys
2026-08-24 13:31:06
3
dame :
20/20
2026-08-29 10:29:49
0
pidope 0069 :
10/10
2026-08-24 13:32:26
2
🎀 Zenah zee🎀 :
30/40
2026-08-24 13:21:47
2
To see more videos from user @_.itslane, please go to the Tikwm
homepage.