@maria.mashaka.chacha: H. pylori inawezaje kuenea kupitia mate? 🦠👅 Watoto na familia nyingi nchini Tanzania wanateseka na maumivu ya tumbo bila kujua chanzo na wana h.pylori. Mate ni njia mojawapo kuu ya maambukizi! Watunze watoto wako na familia yako. #HPylori #Tanzania #AfyaYaMtoto #Afya #Dodoma
Dr.Maria wa watoto
Region: TZ
Monday 24 August 2026 13:19:17 GMT
Music
Download
Comments
nasra salim :
next,ninaumwa lakini nimependa unavoongea kiswahili
2026-08-25 06:01:16
3
Ummu :
nimekupenda sana , unaelekeza vizur
me nasumbuliwa sana na H. pyrol
2026-08-25 17:50:13
2
G :
Tuliokutana na sehem ya pili mpo wapi
2026-09-28 12:59:51
5
BENSON😁🫵🏾 :
props on your swahili fluency
2026-10-03 21:24:33
2
ruky123_ :
An umeenda mbali kwenye ugali doctor watu wanakula denda atari na mate wanameza🤣🤣
2026-08-24 20:36:44
4
Aisha :
Please tumble treatment yake
2026-10-04 06:19:42
1
fadhili2nyi :
say no to kissing
2026-08-24 14:18:14
3
BEL :
Dr. Maria kumbe eta nasha🤣🤣....hiyo kitu niliumwa 3 years back....na mwaka huu nimeumwa tena ni ugonjwa mbaya na unatesa
2026-08-25 04:43:21
1
mama kuwani :
naomba namba yako dr
2026-09-09 08:55:17
0
Eddy :
Asante sana Doctor 👏 Mungu akubariki
2026-09-29 18:17:06
0
idanadel :
Hii ni kweli lipata kutok kwa dada yang
2026-08-25 11:40:43
1
samnyimbi :
unaongea Kiswahili kizuri sana
2026-09-12 09:34:21
0
~Innie :
Mtoto wa mwaka mmoj anawez kudiagnosiwa n H-pylor
2026-08-29 06:55:27
1
williemnyamwezi :
Dr Maria nimekupenda kwa elimu nzuri
2026-08-25 02:44:31
1
Salum Naidonda :
ongera sana kwa maelekeso mazuri,kwa kweli Mimi sikujua kama H. pyrol inaambukiza
2026-08-26 19:06:28
1
rafinho :
Hujazungumzia na tiba ya H.P au haitibiki?
2026-08-25 06:33:33
1
darvdgeek :
dr maria vp kuhusu amoeba,mate hayaambukizi?
2026-08-25 15:27:30
0
Mp :
asante kwa elimu doctor 🙏🙏
2026-08-25 09:49:48
1
williemnyamwezi :
Ugali wa baridi si ndiyo? anyway denda na kushare kijiko wakati mnakula
2026-08-25 02:42:09
1
best mom :
Dr mtoto wangu anasumbuliwa sana na ana miaka 4 nimempa clarithromycin plus esmoplazol bado yupo negative na Kila asubuhi tumbo linamuuma
2026-08-26 06:00:00
1
Larissa Kim' 🎋 :
kwaiyo mmeamua niachane na mambo ya ku-Kiss kabisa 🤦🤌
2026-08-24 16:11:28
3
UmmuSanty :
Ahsante
2026-08-24 19:28:36
2
buismail :
Dr maria Asante sana kwa maelezo mazuri na fasaha sana
2026-08-26 09:09:04
1
best mom :
yupo positive namaanisha not negative Yan haponi tu
2026-08-26 06:00:50
1
janeth_burton :
Aya nikampime mwanangu 🙆🏽♀️🙌🏼
2026-08-24 14:41:23
1
To see more videos from user @maria.mashaka.chacha, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.