@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Juu ya Swala Zima La Wale Ambao Wamekua Wakiishi Na Watoto Ambao Si Damu Zao Yaani Watoto Wa Kuwazaa Ni Vyema Kuhakikisha Inatoa Malezi Kwa Mtoto Wake Ambaye Utamkuta Kwa Kumpatia Malezi Akiwa Kama Mwanao Wa Kumzaa Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amezungumza Hayo Kwa Sababu Baadhi ya Watu Wamekua Wakioa Wanawake Ambao Tayari Wamewakuta Na Watoto Hivyo Ni Jambo Zuri na La Busara Kama Mume Ukimuoa Mke Mwenye Mtoto Hakikisha Unamtunza na Mtoto Wake Pia