@rev.adonijah1: Part 1: Siri ya kifo Cha mtume Yohana. Yohn 21:21-25. #tanzaniantiktok🇹🇿 #gospel #tiktokkenya #biblestories

Adonijah
Adonijah
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 14:07:12 GMT
55631
3361
107
107

Music

Download

Comments

ezekielmasibo1
EZEKIEL MASIBO :
read book of mark chapter 6:19_29
2026-08-24 18:49:37
1
user343011172817jehovers
THE JEHOVER'S :
john executed by king herod why lies? or which john you're talking about
2026-08-25 16:13:42
0
user6757965618412
Wakio :
I think this is truw. His rolw was so great kuwa mtu wa kawaida
2026-08-24 20:24:15
0
haki.nesta7
Haki Nesta :
wow tupe part 2 please 🙏🙏🙏🙏
2026-08-25 05:51:07
1
mamakebasil
wambis :
what about St Basil history
2026-08-24 17:34:46
1
user22916563830356
user22916563830356 :
leta part 2
2026-08-25 01:39:20
1
daudicharles26
zabul saul :
yohana alikatwa kichwaa sio muda bada ya yesu kuanzaa kazii yake soma vizulii
2026-08-25 05:10:23
2
ali.diab6117
Ali Diab :
kwani yesu ana uwezo gani umuache aishi mpaka arudi kama kila kitu yesu ulikuwa akifanya mpaka muombe mungu mbinguni mnamchukulia yesu kama mungu yesu sio mungu yuko na hakuna kitu inaweza kumuona mungu kwa macho
2026-08-24 14:39:44
3
raphael.ngoda
Raphael Ngoda :
yohana arikatwa kichwa
2026-08-24 19:39:26
1
kayombo.andrea
Eng.Kayombo Osb :
Mtumishi, Yohana neno alilokuwa analirudia rudia wakati akiwafundisha watu ni "Tupendane"
2026-08-24 15:43:53
3
mpaya27
mpaya27 :
alikuwa muzungu ao mweusi?
2026-08-25 03:17:31
0
eddy15085
Eddy150 :
Mwalimu: ukipata mda mimi naomba maana ya neno Mtume: mana nimesoma Bibilia nimegundua kua Yesu ametumwa na Mungu 17:3 Yohana: “ Na Yesu kristo uliyemtuma” nimekupa kua Yesu anaweza kuwa Mtume wa Mungu:
2026-08-24 15:37:00
1
edna67271
Edna :
Ebu twambie aliye katwa kichwa ni nani ?
2026-08-25 07:33:11
1
saidah123612
itz hapoy :
sasa yuko wapi ama ndio ezekiel
2026-08-24 15:32:50
1
kenedymutuku7
kenedymutuku999 :
Uyo yohana anatusaidia na nn
2026-08-24 22:33:18
0
edinakamaedina3
dina baby :
yohana ni mimi🤣🤣🤣
2026-08-25 07:39:16
0
user6293627046346
wa Mbathakk00032 :
yohana yupi?
2026-08-25 04:00:19
0
kechejoseph
kechejoseph :
Je alikuwa mzungu au mwafrika kaka?
2026-08-24 19:34:43
0
mmarekani66
Mmarekani mweusi🇺🇸 :
asa alijichimbiaje wakati alikuwa hana nguvu ata mpaka anafikia stage ya kubebwa
2026-08-24 16:39:48
0
edwincrispoowichokoth
EDWIN CRISPO :
Producer asante sana napenda sana content zako endelea kuleta 👏👏👏👏
2026-08-24 15:43:48
2
tolmnyama
Ottomanmkoveke870 :
kama alibebwa kwenda kuhubiri aliwezaje kujichimbia kaburi?
2026-08-24 18:59:53
3
johnpatrick75373
John Patrick75373 :
mnauhakik yohana alikua mweupe??
2026-08-24 20:04:23
1
jelemiamasukwi
Jelemia Masukwi :
nam MTUMiSHi Niko raivu
2026-08-24 15:29:34
1
romyswaxy2
romyswaxy :
uondio umbea ww ulinuona uyo yoana kwaio asaiv yoana anamiaka mingap?
2026-08-24 19:24:31
1
mr.sportztz
mr.Evans :
Ushasema mtizamo wako na historia , ni mwisho kuweka mtazamo kwenye neno la Mungu ufunuo 22:19/19 mithali 30:4-6
2026-08-24 17:11:43
1
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About