Uzuri tukifika mbinguni tutajua izo pesa ulikuwa unatoa wapi😂😂
2026-08-24 15:35:04
395
Dauson classic wear :
tafuta sana ela ila usipige nazo picha.
2026-08-24 19:25:15
183
DANKANI PHONE & ACSESORIES :
Kwa Nina vyo ona mmi hapo dirisha halina nondoo 😂
2026-08-25 09:45:36
57
kaparata :
Cem nn wanang maish ujamaliz kk hii ni dunia
2026-08-24 19:07:17
41
Ibrahim Mendeze :
uzuri ni kwamba mbingun kila kitu kitawekwa waz
2026-08-25 04:04:51
55
Ngoshamusic1 :
vijana wenzangu acheni tamaa haya maisha watu wana siri ☠️
2026-08-25 21:53:10
45
Ujack 💄 :
Kwahiyo na www unapesa ?
2026-08-25 07:34:46
12
Dickison LeonidasTz :
HB ni mmoja tu Tanzania akuna mwingineee👍👍
2026-08-24 14:40:11
13
Menye Irmegoliki. :
Bora nibaki masikini lakini hela kupata kwa kuinamishwa hazifai
2026-08-25 05:55:39
13
Kevin maziku :
brother naomba kazi yoyote ntafanya
2026-08-25 18:33:01
6
yuis-ha_1517 :
hakika ya mwenye kusubri Yuko pamoja na Allah
2026-08-27 19:41:23
6
denis asnaly :
zina mwisho wake mdg watu
2026-08-28 15:59:48
1
Massawe Onesmo :
Ila weka akiba ya maneno
2026-08-25 05:50:39
9
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
"Mtu anayepambana mbele ya jamii kuonesha kuwa kuna mali anamiliki huyo hana anachomiliki Kwa sababu utajiri upimwa na staha ,mtu pekee wa kujilinganisha linapokuja suala la maendeleo na wewe mwenyewe wa jana na leo".
2026-08-24 16:09:49
24
user6693671593415 :
pesa za tz nipesa zakuringianazo na ata aifiki laki 2 Kenya
2026-08-24 17:08:15
6
omary gama :
kejeri zote na matusi zote ni nguvu ya hii pumzi tuliopewa bure 😎
2026-08-24 20:03:42
11
Efootball poucher💧🎮⚽️ :
tupe madili sasa kaka unasema tutafuta pesa afu kazi zetu hazimudu kiasi hichoo
2026-08-30 10:52:32
1
Regan Bazaar Bazz :
Nifanyiee mpang kak 😅😅
2026-08-28 14:46:40
0
mkaburu 45 :
ndiyo kaka nakubar San 💵💵💵💵💵
2026-08-25 14:09:52
3
Legi Tz :
kikubwa nakula nashiba hayo makaratasi baki nayooo ugali mrendaa nashukuruu
2026-08-27 09:01:39
2
Tony sumbawanga :
wehaututishi bhn wala hautusumbui
2026-08-25 11:45:39
1
kajembe :
najua moyowako unateseka unamaumivi
2026-08-27 15:11:34
0
Selemani Mateo :
Mfalme sureiman aligundua kua yote ni ubatili na MM nimegundua kua yote ni kujifariji sabab mna Majuto ya milele
2026-08-26 16:02:33
4
kuruthumu rashidi :
mwenye hela anasema
2026-08-26 16:03:40
3
To see more videos from user @.hbsquare, please go to the Tikwm
homepage.