@wuodkanoh1: #foryoupage #fyp #nairobitiktokers

wuod kanoh✅️
wuod kanoh✅️
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 24 August 2026 14:54:18 GMT
32354
1883
170
104

Music

Download

Comments

user16655591638135
kay :
not all digo
2026-08-24 17:51:14
0
leilah.j_21
Leilah J :
my waiter is always going for harusi
2026-08-24 16:29:05
0
antonnybaki
Antonny Baki :
" Manually got me "😂😂
2026-08-24 17:03:32
0
mimah497
mimah :
Achana na sisi😂😂😂😂pheee Shostiiii tuache😂😂kundagaweza mwenehu😂ni harusi si harusi....
2026-08-24 17:10:27
6
aishackuu
Sikuu :
Kwanza mi napenda sanaa kwenda arusini siwezi kosa kila weekend atakama sijaalikwa naenda na huwezi elewa😂😂😂
2026-08-24 16:37:57
13
mr.rai7233
Manuh😎 :
The part sindagawezamino😂😂😂
2026-08-24 17:10:26
0
moyowasubira
moyowasubira :
mi mdigo pure lakini sipendi harusi wala kelele za harusi😂
2026-08-24 17:12:50
6
ibnseif1
Ibnséíf :
dem wangu uyo daah kwisha mim😂
2026-08-24 17:26:39
3
bekaruga_
BEKA RUGA :
Ni hata nlikua nimenunua kanzu😂😂😂
2026-08-24 17:31:10
4
user2677815878109
Travel is endless,🦓🐘🇰🇪 :
me too bro I was a victim 😂😂
2026-08-24 15:55:13
0
elpits92
Aminata :
Wewe unajua wakamba wewe??😂😂😂
2026-08-24 15:05:27
8
userbeeper
cathryne :
ati manually 😂😂😂😂
2026-08-24 15:24:23
4
queen_sally705
@Daishaly💖💝💋 :
Paka unitaje....lkni napenda sana harusi kuliko mapenzi😂😂😂😂
2026-08-24 17:01:51
2
juma16
juma :
Kwani ni lazima umtamje jina. anyway hukuelewa lugha ya hekma ya uyo mamake. sio kuwa alikuwa ame enda harusi lakini walikuwa hawakutaki. Sasa kukuambia hatukutaki, walikuonea huruma. walikupa reasons paka akachoka mwenyewe.
2026-08-24 15:59:55
5
wuodkanoh1
wuod kanoh✅️ :
Nilikuwa nishanunua kanzu
2026-08-24 17:34:03
1
love.d2543
Love D :
hawa nao wamezidi ila wengine hawako hivo sio wote😂
2026-08-24 16:54:35
3
user2327281252194
ALHANDRO VENOM :
c harusi wanapenda taarab sanaaaaaaaaaaaaaaa
2026-08-24 16:52:55
2
vin.k.k
Vincent :
Kwani ilikua 1995 ?
2026-08-24 17:13:54
0
1_jennyce
Jennyce :
Na harusi lazima kuwe na bango
2026-08-24 15:01:51
4
user4248708852168
digoqueen :
🤣🤣🤣 ila wadigo nyie mna mambo, aya shemeji yetu mlimchokesha kandakaweza na akaenda ivyo🤣🤣🤣🤣
2026-08-24 16:35:31
1
marcella.alela
Marcella Alela :
heheheee undagaweza bro
2026-08-24 15:03:44
1
carymi
Ka farmer :
Wakamba pia wanapenda harusi
2026-08-24 16:25:54
2
m.jungukuu
GenO :
Likoni kila Saturday ni Harusi😂.Unapata Family mzima hawajaonana kwa nyumba for 1 full week.Kazi ni Harusi kila corner na ujue hamna mambo ya Invite 😩
2026-08-24 16:07:54
3
mimangi1
MANGI 🇰🇪🇦🇪🇹🇿🇺🇲 :
🦍:kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu
2026-08-24 16:21:13
1
To see more videos from user @wuodkanoh1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About