@ngatuweldings5: BANDA KWA AJILI YA BIASHARA YA JUICE UTALIPATA HAPA KWETU NGATU MODERN BUILDWORKS🦺📌 BANDA LETU NI SIZE 6/6 LINAJUMUISHA:: ✅BANDA LENYEWE ✅SYSTEM UMEME ✅FENI ✅SYSTEM YA MAJI ✅ALCOBOND NA STICKER ✅SHELVES ✅RANGI ✅PAMOJA NA VITI VYA WATEJA VITATU NA CHA MHUDUMU KIMOJA🦺🔥 #weldingtiktok #bandalabiashara #ngatuwelding #tiktokviral #fyp

NGATU MODERN BUILD WORKS
NGATU MODERN BUILD WORKS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 14:59:23 GMT
10849
306
36
49

Music

Download

Comments

user86721714
angy Jey! :
bei
2026-08-25 18:22:54
0
ponjoocomed
ponjoo comedian :
kwanini usinhetangazia huko watsap kila anekuuliza bei unasema njoo watsap wakati matangazo yapo tiktok aaaah msituchoshe basi😏
2026-08-25 08:30:24
3
mariamjohn971
mary :
yani nina shida na banda lakini siwezi Kuja watsup kama hamtaji bei uku basi bora mmpost huko huko watsup 😁
2026-08-26 21:49:53
1
jikaze.watoto.wai
jikaze watoto waige. :
kama hili sh ngap
2026-08-24 15:43:16
1
glorystephen163
pretty gee🎥 :
mnapatikana wapi?
2026-08-25 09:42:59
1
janeth.kauga5
Janeth juice🥤 :
Bei gani
2026-08-24 15:30:27
2
najmaaah4
Najmaa🦋 :
Bei gan broh
2026-08-25 19:23:31
0
chimamy2742
CHIMAMY :
fen ulinunuwa sh ngp
2026-08-25 08:43:40
0
annetz....7
anne🥰 :
Shingap jmn
2026-08-26 09:56:25
1
user588123782851
Joad joackim :
sasa Arusha napataje
2026-08-25 20:52:44
0
elifuraha.jonatha
Elifuraha Jonathan :
Bei
2026-08-25 19:51:33
0
addyvanny.sendo.k
Addyvanny sendo kali :
namba ya wasap Iko wapi sasa
2026-08-24 18:52:39
1
mom_daneen
Da maya :
Sasa kwani mkitaja bei hapa ni nn shida!!!?? Kila anae uliza njoo inbox mnataka kututajia bei tofauti au!!?? Display bei hapo mtu akija inbox anakuja mazima😂😂😂😂😂
2026-08-25 06:07:59
1
josephtw7gd
luxury :
bei gan
2026-08-26 14:12:25
0
mee53711
docile.dee :
aisee mnakera msipoweka bei , sasa mtajitengenezea wenyewe hivyo vibanda
2026-08-25 12:39:09
0
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
me nataka Kam hili 6/6 lkn liwe la nguo inawezekan
2026-08-25 16:59:52
0
To see more videos from user @ngatuweldings5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About