@nuru_podcast: HIZI NI DALILI KWAMBA MKEO ANACHATI NA WANAUME WENGINE | @dkt_sheikh_abdulrazak_amiri_' #islam

NURU PODCAST
NURU PODCAST
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 15:02:31 GMT
17810
571
33
214

Music

Download

Comments

qweenlady_____
Amore🥰❤️ :
So if the husband does is not sin 😁
2026-08-24 18:57:40
5
hamadikhamis6
hamadikhamis239 :
ata wanaume wanafanya ivyo siyo wanawake pekoe mbona kila makosa munatutupia sisi
2026-08-24 16:13:13
12
oyaajamaaa
Ahmed Swaleh 🌎 :
Tena wale wanaojifanya ma Ustadha na ma Ustadhi ndio wanao ongoza. ndio siku zote nasema simu ya mkewangu nafaa kuipekua ninavtotaka na ya kwangu pia yeye afanye hivyo.
2026-08-25 06:41:23
3
hilwa_445
💫 :
hata wanaume sana kuliko wanawake
2026-08-24 21:28:06
4
sabrinabachoo472
sabrinabachoo472 :
wanaumme hawana muda na wake zao kiasi wanawake wachat na wanaumme huna wa kukuliwaza wafundisheni wanaumme wenzenu mapenzi kwanza ndo mulaumu wanawake
2026-08-24 18:00:27
6
shazmi20
Shazmin :
Mbona nyinyi huwa mnaona makosa ya wanawake tu si wanaume pia huwa wana chart
2026-08-24 19:54:15
1
mohakombo1966
moddykey66 :
siku ya kiama ndio kila kitu kitakuwa parawanja....
2026-08-25 06:19:45
0
user9281315061052
Warda Kulola :
we shekhe semeni na yenu
2026-08-25 05:14:49
0
umm_dha16
umm idha :
Na wanaume wakichati si makosa?
2026-08-24 16:55:39
1
user2811444081388
aisha❤️❤️ :
kweli ee
2026-08-24 23:43:46
0
abdulirahmanisule
Abduli Rahmani Sulei :
maelekezo mazur mwenyezi mungu akulipe kheri
2026-08-24 19:29:00
0
sumathir.og8
Sumathir og :
na je wanaume je wa kama hivyo
2026-08-24 18:04:33
0
njito.xy
Njito :
Nawaona wengi wanawake wana comment kukataa au kusema na wanaume. Hawajakataa ila saivi ndio mada inaongelewa ya mwanamke kwanza. msije juu bali eleweni mafunzo.
2026-08-24 22:08:22
0
mamyisha4gmail.com
Cute Mamy :
wanaume mwaongoza
2026-08-24 19:03:58
0
asmaa_honey12
asmaa_honey12 :
asilimia kubwa ya wanaume ndio sbabu ya hili
2026-08-25 07:09:53
0
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
mwaka mzima mume hajui kumtumia mke wake message anaona mke Hana maana lakini mchepuko anaulizwa Kila mara Hali yake. umsaliti Kwa wanaume ndo Wana adilisha wake zao
2026-08-25 05:20:34
0
nurulyaqinil
farhiyah :
kwa sababu hao wanaume hawana muda na wake zao wanajifany bsy n kazi ila michepuko inapewa airtime lazim tujiongeze bhn nani ataka kufa kwa kisukari ndoa sio jela babu🤣🤣🤣
2026-08-24 23:27:45
0
abdulhalim.ali4
ABDULHALIM ALI :
hilo tu
2026-08-24 23:08:17
0
mohakombo1966
moddykey66 :
how can a woman be busy from morning upto evening and expect a man to be silent?
2026-08-25 06:18:29
0
quitea25
Quite A :
👌👌👌
2026-08-24 15:11:00
0
To see more videos from user @nuru_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About