@chandolaptops: Mara nyingi tumekuwa tukiwapa kipaumbele wadada waitusapoti na sisi kuakikisha tunawapa sapoti kwa kile ambacho wanakianzisha kwajili yao huyo dada amekuwa akituamini na kununua laptop karibia zote na sisi tumekuwa tukimtua kwenye matangazo yake sasa ni muda wa Chando laptop kumsapoti kwa kile ambacho amekianzisha anaitwa @_Ms.Fetty🦋💙 amefungua duka pake ambalo lipo mwenge plaza number18 anauza mikoba viatu pamoja na nguo karbu chando laptop tusaporti 0678484060 #tanzaniantiktok🇹🇿 #rwandatiktok🇷🇼 #southafricatiktok🇿🇦 #ugandatiktok #kenyantiktok🇰🇪

CHANDO LAPTOP
CHANDO LAPTOP
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 15:06:46 GMT
1047
53
4
3

Music

Download

Comments

techhubtraders_pc
BRAND 👑 :
Asanteni kwa kumtag 😂😂😂
2026-08-24 17:20:26
0
mayro_95
MAYRO :
Mm nimemuona yy tu😂😂😂
2026-08-24 15:12:33
0
To see more videos from user @chandolaptops, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About