@trtafrikasw: Tanzania inazalisha umeme mwingi zaidi ya mahitaji yake— na hilo linazua swali muhimu: ni nchi zipi katika Afrika Mashariki zenye umeme wa kutosha kuuzia majirani zao, na ni wapi gharama za umeme ziko juu zaidi?
TRT Afrika Swahili
Region: TZ
Monday 24 August 2026 16:15:00 GMT
Music
Download
Comments
DIR_LEKENNY :
😭Juzi nilienda Kenya sukari Na mchele bei ipo Chini Tz ipo juu na hayo yote yanatoka kwetu 😭😭😭
2026-08-25 08:58:48
1
enock670031058 :
ni Ethiopia
2026-09-30 09:11:51
2
user9576502424815 :
Tanzania Ndio tuna umeme mwingi apa east africa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-09-23 18:40:36
0
Marwa Jr 🇹🇿 🇹🇿 :
Sasa umesema Tanzania ndio inauza kwa bei ya chini zaidi kwa sent 9 kwa saa labda wewe unataka bei gani ndugu mwandishi
2026-10-04 06:25:31
0
Patrick xhijah :
si Tanzania nawe
2026-08-24 16:26:11
2
Hustler tz :
iv mnaijua Ethiopia nyie
2026-08-26 07:10:11
1
SIZEYAKO :
Tanzania
2026-08-25 08:50:43
1
kashamba :
ila kenya inataka kuuzia tanzania umeme😂😂😂
2026-08-26 11:01:42
0
Siraji Rashidy :
tz
2026-09-19 22:06:16
0
Dieudonne Abdullah :
congo
2026-08-25 07:48:22
0
𝐑adio 𝐏yramide 𝐊adima@ :
Umesahau Congo DRC, n'a Ziwa la Tanganyika n'a barage inga 1 n'a 2 ya Kinshasa.
2026-08-24 16:40:31
0
SIZEYAKO :
Tanzania inatosha kiasi kidogo cha pesa kuliko nchi nyengine za afrika masharik
2026-08-25 08:54:08
1
abuuzaynab :
ucjal mtangazaj tutawauzia wakenya majirani zetu! hata ugali wanaoukula huko Kenya unatoka kwetu Tanzania
2026-10-04 11:57:48
0
ASATE LUI MlRE :
🥰🥰🥰
2026-08-27 05:37:31
0
The king :
@GURU MR PROBLEMS 🖕🏼😁🤪 @Robert Go chill backup @Kevin masagara @C.E.O wa CHELSEA👑 @Ericomondi @wuod kanoh✅️
2026-10-04 14:47:59
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.