@tanzania_kwanzatz: Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao, Lengo kuhadaa Wakristo na watu wa kanisa Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki, Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu, Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea! NINAMPENDA APOSTLE MWINGIRA KWA MOYO HUU WA HAKI NA WA KUTOMUUZA YESU

Tanzania kwanza
Tanzania kwanza
Open In TikTok:
Region: AL
Monday 24 August 2026 15:53:30 GMT
27483
1540
173
284

Music

Download

Comments

happiness.mmari10
happiness mmari :
proud of you my dady...
2026-08-25 06:59:04
1
mshanga64
mshanga :
God be with u
2026-08-24 17:18:45
8
meki.ndossi
meki NDOSSI :
mtumishi nimekupenda bure
2026-08-24 18:30:34
21
victor_mwailenge
Victor Mwailenge :
KWA LEO NAOMBA NIKUPENDE BABA
2026-08-24 18:10:04
29
dollah904
mom lizy💞 :
mwamba mwamba❤️❤️❤️❤️
2026-08-25 05:36:20
0
elizabethdaniel125
lizaaBoutique :
Efatha oyeeeeeeeeeeeee mwingira oyeeeeeeeeeee
2026-08-24 18:48:06
21
yohana.dotto2
Yohana Dotto :
Thanks man of God
2026-08-24 17:49:17
3
user6288193359194
munisi :
huyu ni kiongozi kabisaa
2026-08-24 18:25:58
20
2000janeypher.sum
JS PERFUME COLLECTION :
Baba mwingira kuanzia leo mim ni muumini wako mpya na binti yako mpya
2026-08-24 18:24:56
62
glorygodwin09
glorygideon uzao mteule :
nielekezeni kanisa lilipo jaman kabla sijapotea.nimemuona baba huko
2026-08-25 06:08:07
7
eliezer_944
MAXESH :
Man of God👏🏻👏🏻👏🏻
2026-08-24 18:38:59
0
tugume6649
Tugume🇹🇿🙏 :
Mwangira shikamoo
2026-08-24 18:54:33
8
monicampokwa6
monicampokwa6 :
Mimi si wa maonyesho kwa wanadamu
2026-08-24 18:55:38
12
mwalimumdogo6
mwalimumdogo :
Nimekuunga mkono kw hilo umesema ukweli
2026-08-24 17:24:14
29
kisura1985
kisuraG/P :
jina LA Bwana Mungu wa majeshi libarikiwe uishi milele mtu wa Mungu
2026-08-24 18:09:58
13
dasmgumu
7mGuMu :
kanisa ni la Tz?
2026-08-24 18:18:36
9
psychpauljr
pauljr :
Hallelujah
2026-08-24 18:14:20
1
mama.mtumish7
Flora wa mwanjo :
Mzee wetu wa thamani
2026-08-24 18:02:10
10
elizabethdaniel125
lizaaBoutique :
Mtu wa milki ya Mungu Mkuuu
2026-08-24 18:51:43
8
martha.luka.dalem
Martha Luka dalema :
Baba kumbee wapenda haki wapo
2026-08-24 19:40:53
6
user18229223713861
Jesus is the lord :
nimekukubali baba Mwingira
2026-08-24 18:53:27
7
steve87463
Steve :
Ameen
2026-08-24 18:10:46
5
king.marwa3
king 👑 marwa :
Hongera sana Efata
2026-08-24 19:10:24
7
edwardsnamakonde
edwardsnamakonde :
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo woteee.
2026-08-24 16:51:40
11
faith_generation_
Faith_generation :
Hili kanisa liko wap?🙌
2026-08-24 23:06:40
2
To see more videos from user @tanzania_kwanzatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About