Kuna muda wanaume wanatakiwa kuelewa kama alikutesa ukiwa huna kitu hata ukipata atakutesa tu sababu hakukupenda wala hajawahi kukupenda sijui kama mtaelewa point yangu
2026-08-24 21:33:01
193
goodterrorfav :
Inachekesha kama sio wewe 😂😂😂
2026-08-24 17:06:26
320
dorine store :
hapo alipo sahiv akikuona anasemaje
2026-08-24 19:12:29
101
CurrencyTz (Baba Rayaan) :
Asumani ukimsikiliza yuko very fan sana
2026-08-24 18:37:41
105
㋡𝗗𝗘𝗫𝗧𝗘𝗥🌴 :
Inachekesha kma haijakukuta😁😁😮💨😮💨
2026-08-25 05:38:21
79
Rebbz🇹🇿 レベッカ :
Men Taking care of your own child ni mateso???
2026-08-25 10:57:42
25
Nyami_beauty_parlour🥀 :
This type of man will never love that hard again 😅
2026-08-25 07:05:00
59
𝗢𝗰𝗵𝘂_𝘁𝘇🦅🦅 :
mengine yasikie tu kwa mwenzio yasikukute
2026-08-24 23:46:17
35
cute🫰 :
Kila mwanaume ana history ya yule dada nilimpenda😂😂
2026-08-24 19:00:55
88
Ndaskoy meliyo :
Yani nimecheka kama vile sijawah mfanyia mwanaume ivi 🤣🤣🤣
2026-08-24 20:25:35
83
Naoram10 :
nikiskia mwanaume kaumizwa nafurahi🥺
2026-08-25 20:24:48
9
Amissa :
Duuuh ila Mapenzi 🙌🙌🙌
2026-08-24 16:10:11
21
Ummy Hassani :
😂😂😂yaani story inahuzunisha Ila ye anachekesha
2026-08-25 07:52:08
11
floraringo0 :
mpe hela,wape hela!!kweli kabisa.
2026-08-24 16:26:26
23
Alisiouskeys❤️ :
Haichekeshi mimi kama mama mwenye watoto wa kiume tupu nimelia sana. Mungu wasimamie wanangu wapate wanawake wema 🙏 Mungu simamia watoto wote wa kiume maana wanapitia mengi