na kwani kenya power walikua wapi hizo enzi yawa..we went through alot as millennial but we had the best times of our lives...
2026-10-10 08:06:19
0
Kim grayce🦋🦋 :
tuliopitia vitu kama ivi tujuane
2026-10-06 12:21:49
386
Kondobia Kiungo :
Chemli hiro
2026-10-09 14:42:21
0
✨𝖅𝖆𝖞𝖑𝖔𝖗𝖆 ✨ :
Nakumbuka nilivunjaga hilo yai 😂😂nilipigwa kipigo cha mwizii😃🙌
2026-10-08 08:04:52
85
Suzy Philipo❤️❤️ :
Wale tulio kuwa tuna peana zam ya kuosha kioo
2026-10-06 06:46:07
105
Me€ :
long time
2026-10-09 16:29:32
0
Ba Omi :
millenials
2026-10-09 17:45:30
0
cute p :
dem days☺️
2026-10-09 17:30:59
0
Smigoo wakuchoma🚭🚭🚭 :
mmmmmmh
2026-10-08 22:56:59
0
gallery d fuvu la mbu :
kama ww haujapitia hii kitu jua wakishua
2026-10-05 11:29:59
42
mwajuma mmamba :
chemli malegend wooyooo
2026-08-26 07:02:45
40
CHIMUMY CHALMA :
Nakumbukaga nilivunja hilo yai nilipigwa kama mwizi nilievamia nyumba 😂😂💔 upumzike kwa amani bibi angu
2026-10-09 10:03:58
8
eddy deals :
Daaah nilikua nakula ela za mafuta nikitumwa ya jero nanunu ya mia 3 inayobaki biskut ya benten😂😂😂
2026-10-05 11:49:45
31
🍀zara🍀 :
sisi tunaitumia mpaka Leo umeme ukikatika
2026-10-07 20:16:56
6
mamymulhat :
watoto wa 2000 hawaijui
2026-08-26 09:36:13
16
sarah de cute 🥰 :
mm nikiiona inanikumbush machungu Dada angu alilipukiwa na iyo taa ndan akafark Dada angu kipenz alikuw bao mdogo sana alikuwa amemalza darasa la saba anasubr matokeo daaah ..Adi Amelia tena😥
2026-10-08 19:08:54
12
conbizzy45 :
wangp 2juane wa2 wa enzi zile
2026-10-05 11:50:43
5
🌹Bebe 🦋Shadia 🌸 :
Watoto wakishua hawaelew ila Asant mungu kwa kutuvusha salam 🙏🙏
2026-10-05 08:11:08
7
mdg hami CR7 :
kama ujapitia iki kitu we wakishua usitushauli chochote ktk aya maisha make utatuchanganya mala ya pili una cha kutushauli pita ivi au mnasemaje wanangu🤣🤣🤣
2026-10-06 00:28:06
5
lucy❤️🥰 :
Si kwetu tulikuwa tuna zam ya kuifuta 😂😂😂😂😂
2026-08-26 09:57:56
10
Mariam Jabu :
kwetu ipo jamani
2026-08-26 13:13:04
10
sherry💞💕 :
ipo mpk leo wallah nimeitunza ntasimulia wanangu wao si wanaringa na umeme mimi nilizaliwa kwenye koroboi ikaja hiyo ikaja tochi ikaja sola aiseee asante mungu hata kwa neema ya maisha na hapa nilipo nimetoka mbali mno
2026-08-26 19:25:45
5
SIMBA MZEE M2POLI 👹👹💯 :
umenikumbusha mbali sana ndugu ,Mi hadi leo hii taa niko nayo ndani kama kumbukumbu
2026-08-26 14:58:22
5
Baby Mama 🥰😍 :
Koroboi 🥰🥰
2026-08-28 19:31:03
1
rachel💕💕 :
pka leo ipo nyumbn
2026-10-08 06:53:24
0
To see more videos from user @trammy.gamerofficial, please go to the Tikwm
homepage.