@adv.witness: Forgetting your driving licence is not, by itself, an offence. Under section 91(1) of the Road Traffic Act, Cap. 168 R. E 2023, a person shall not be convicted merely for failing to carry or produce a driving licence if they produce it to the Police within the following three days, at the police station specified by the police officer. Know the law. Know your rights. // Kusahau kubeba leseni yako ya udereva si kosa lenyewe. Kwa mujibu wa kifungu cha 91(1) cha Road Traffic Act, Cap. 168 R.E 2023, mtu hatatiwa hatiani kwa sababu tu ya kushindwa kubeba au kuonyesha leseni yake, ikiwa ataiwasilisha Polisi ndani ya siku tatu zinazofuata, katika kituo cha polisi atakachoelekezwa na afisa wa polisi. Ijue sheria. Zijue haki zako. #LawMadeEasy #SheriaImerahisishwa #AquilaAttorneys #RoadTrafficLaw #AdvWitness
Adv. Witness
Region: TZ
Monday 24 August 2026 16:10:35 GMT
Music
Download
Comments
Joseph Chikunde :
RTA Cap 168 (91) (1) as amended in 2023
2026-08-24 18:42:17
0
õffîçïál~kèmï💞💖 :
Asante
2026-08-24 18:07:02
0
bella_mouh :
I love your eye makeup
2026-08-24 18:49:02
0
zefania the DON :
dada unajua kweli nimeuliza na chat gpt kasema ivyo😂😂😂
2026-08-24 16:41:27
8
DAVID JOHN :
That's what the so called the law's says ...what do our Traffic police say 😎🤏
2026-08-24 17:21:16
1
@Makame JR :
Ila lakin pia waambie kwamba wakati anatakiwa alete LESENI ya UDEREVA ndani ya izo siku tatu anatakiwa gari au chombo anachoendesha kinatakiwa kubakia kituon na anatakiwa kujaziwa fomu inayoitwa providing of driving license ili kuondoa mkanganyiko waelimishe na hiloo😈😈😈
2026-08-24 16:55:44
19
Ian | Tanzania🇹🇿Safari Guide :
na jee kama ninayo picha kwenue cm
2026-08-24 17:33:08
3
Babih :
watasema twende kituoni ukileta lesseni utachukua gari lako 🤔
2026-08-24 16:54:46
2
00:00 :
Vp kuhusu kutembea na picha ya Leseni?? Kweny simu
2026-08-24 17:41:14
1
Irine Paul :
Mda huo wa siku tatu gari inakua polisi au naondoka nayo.
2026-08-24 17:14:26
4
Godlive na Yuhai :
Mi nimeenda kuomba kazi wanataka cheti cha kuzaliwa sijui hawaamini kama nimezaliwa😂😂😂 si ni mimi apa au mnaona msukule😁
2026-08-24 18:16:27
1
The Prince :
Asante
2026-08-24 18:32:58
0
Dr David Kinogo :
hiyo ni sheria ya nchi gani unaiongelea !?
2026-08-24 17:22:21
1
Kindo :
asante sana advocate.vipi kuhusu kadi ya gari?
2026-08-24 17:04:08
2
jjj :
sorry ni nchi gani hii inakuwa applicable
2026-08-24 17:59:59
0
Morgan :
kama ungetaja Tanzania ningeenda kortini kama mkenya🤣
2026-08-24 18:02:09
0
Sheru2 :
thanks
2026-08-24 16:53:23
0
Isaiah Manase16 :
mmmmm nikuelewa vizuri asante
2026-08-24 17:33:06
0
JJU :
Advocate Witness!! Please naomba uwe wakili wanguu. malipo yapoo kama kawaidaa🙏🙏
2026-08-24 18:10:34
0
user3038185875620 :
Mi nilikua nasahau sana leseni, siku hiza inakaa kwenye gari sitaki kelele na mtoto wa mtu.
2026-08-24 17:33:27
1
Eng_Mo'h :
La le li lo Lu
2026-08-24 17:06:39
1
erren_ken :
sante kwa elimu nzuri 🔥🔥🔥
2026-08-24 16:21:18
0
A B D U L :
hapa nmepata vitu 3 kwa pamoja, elimu, saut na sura nzuri.
2026-08-24 17:15:33
1
Einstein_1 :
Siku tatu lbd sio askri wa bongo
2026-08-24 17:35:44
1
🎱Kim Walter🎱 :
What of leseni imeisha mda wake
2026-08-24 18:58:26
0
To see more videos from user @adv.witness, please go to the Tikwm
homepage.