@irene_keza: #sisindiowaletunaosaidiwanabwana #viral #gospel #goviral #fyp

Irene❣️🦋
Irene❣️🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 16:19:41 GMT
52096
3340
313
468

Music

Download

Comments

barackjande
Barack Jande :
I'm proud to be Nyakyusa 🥰🥰
2026-08-25 07:53:51
6
uniquegee73
uniquegee :
Wanakuaga na gari la matangazo la mc danny fm😅jamaan nd tunatoka mochwari kuchukua mwl wa mpendwaaa wetuu😆
2026-08-24 17:16:51
65
esterlove135
Katoto ka Yesu :
😂😂😂 hujakosea ndio tulivo😂😂😂
2026-08-24 17:37:26
34
dads_shadow1
Shushuu :
Asubuhi tukiamka tunalia kwanza ndio tunaanza kusalimiana
2026-08-24 19:14:11
78
aminamwakatwila
aminamwakatwila :
😂😂😂tuacheni
2026-08-25 11:17:04
0
158cc
Clementina Mbwile :
Hii sababu nilichekaa kwenye Msiba wa Mama Yangu mzazi walahi Siji Sahau 😩😭😂😂😂😂Wanyakyusa mwenzao Nalia wao Wanalia na maelezo Nyieee 🙌🏿🙌🏿💔Anyway it has been 20yrs Now Continue to rest in Peace Mama 💔🙏🏿
2026-08-25 05:17:37
22
baba.b866
Wamchongo🤓 :
Hiyo ni healing, kisaikolojia inaponya. Ndo maana wanyakyusa wengi baada ya misiba hawapati stress. Nmefanikiwa kusoma kozi fulani inaitwa African psychotherapy, kulia ni sehemu ya uponyaji kisaikolojia
2026-08-25 06:45:02
23
js_freesoul
js_freesoul🕊️🤍 :
Dad plz stop😂😂😂😂
2026-08-25 09:49:06
0
tumaini.eliya71
MINISTER HOPE🥰 :
ila PT😂😂😂 hapana
2026-08-24 16:45:43
21
atustore1
Mama J Collection :
ila kwa kulia kwa kweli tunalia😂😂😅 ila ukifika mda wa kula tunakula weee na muda wa kupiga umbea tunacheeka ila akianzisha mmoja tu wote tunaliunga utasema sio sie tuliokua tunapiga story😅😅😅
2026-08-25 06:36:51
13
bibah_outfits
bibah_outfits :
nisingekuwa mnyakyusa ningelia sana🥰😅
2026-08-24 18:35:06
25
supermamatz
Super mama tz :
Home Girls and Home boys nawasalimia 😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
2026-08-24 23:51:21
0
officialshadysankey
shady juice 🥤 :
Kwanza tunaliag msiba mwez mzima🤣🤣🤣
2026-08-25 03:31:32
5
ms_vee70
Vee Beauty Point💄 :
Hao n mashngaz zangu jamn kbsaaa n wao aaaha 🤣🤣🤣alfu wakimaliz kulia hapo msiba ukipoa unaanz kupigiwa story na kuulizwa eeh na wew vip hutak kuolewa hapohapo akitokea mgen tena wanaanz kulia ila jamn 🙌🤣
2026-08-25 10:03:45
5
Gptitodaniel
Gate of Heaven Ministry :
siyo wanyakyusa pekee hata kwa wahaya pia
2026-08-24 19:32:58
10
officiallydidah
officiallydidah :
Umesahau wanapiga na makofi juu 😂😂
2026-08-25 08:22:16
2
vee3237
vee💕🥰 :
maisha yangu bila kwa mnyakyusa sijui ingekuwaje 🤣🤣kuna ila ya kuamshana saa 11 alfajir mmelia mmelala vzr tu alfajir unamsikia bibi mmj anaanzisha kilio wote mnaamka
2026-08-24 19:41:12
8
summerrowsey
Summer Rowsey :
baba PT na mama PT wote comedian bas raha hatar ibada haukaz sura😁😁❤️❤️❤️
2026-08-24 17:42:01
12
asifiwe.45
Asifiwe 45 :
Past Tony sisi Mama zako ujue hahaaaaaaa nimecheka
2026-08-25 06:04:18
8
leocadiabaranyikw
Leocadia Baranyikwa :
yoooo wandali mkoa wa songwe
2026-08-24 18:32:29
7
sophia.nyingi
Sophia Nyingi :
Tukiwa tunaenda kwenye msiba tunapiga story na vicheko njia nzima tukikaribia nyumba ya msiba ndo tunaangua kilio.......sijui ni mila zetu hata mie inanichanganya😁😁.
2026-08-25 05:00:00
0
tumpemwainyekule
Tumpe Mwainyekule :
Kiukwel mnyak mnyakyusa ukiona amekukunjia aisee umemkwaza pa mwisho tunapenda sana aman
2026-08-24 23:24:48
6
mr_emma.36
Mr_emma :
amelalaaa mpendwa wetu tulimpendaaa mpendwa wetu ila mbeya 🙌 msiba mnalia mkoa mzima na gari lamatangazo mtaani 😅
2026-08-25 05:57:41
3
To see more videos from user @irene_keza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About