kaka naomba nikwambie jambo unaniona mm nakuelewa sna unachosema mm nilipata ajali 2013 nikavunjika kiuno niliumia sna nililala kitandani kwa muda mrefu zaidi ya miaka 3 na nusu ila tangu siku nilipo pata ajali niliamimi nitapona japo niliumia sna maana nilivunjika uti wa mgongo ila nimepona na ninaemdelea na kazi zangu nilijitibu kwa garama kubwa milion 115 nilitumia nilitibiwa Nairobi hospital
2026-08-24 23:39:31
17
Denis Ladison :
free tundulisu
2026-08-24 23:03:57
8
MYG😎 :
Bado nipoo kaka🫡
2026-08-25 17:22:44
1
mussa nails :
sahihi kaka
2026-08-26 11:17:26
1
bint Said🥰🧿🇹🇿 :
Asante
2026-08-26 03:40:38
1
salumrajabu819 :
We noma sanaa
2026-08-24 20:21:23
1
The Akili :
Aisee hili ni somo kubwa sana
2026-08-25 14:32:46
1
kurya boy :
asante sana kaka
2026-08-25 19:47:20
1
SULTAN SADICK NAJIM🤴 :
daah kweli hakika mkuu🤔
2026-08-25 19:07:33
2
Gado wizzy :
big fact my brother mungu akujalie San kwakunipa Hili somo🔥🔥🔥
2026-08-26 08:24:38
1
hamzalipumba :
nakubal kaka
2026-08-25 17:35:05
1
Knotless beauty dodoma :
Unanichanganya kaka ila nimekuelewaa sana nimejifunza kitu kikubwaaa
2026-08-26 12:48:30
1
ummy :
hakika hakika kaka....
2026-08-25 14:26:11
1
Ken the great :
Inabidi nchi nzima ikufahamu,it's my pleasure bro🫴🏾
2026-08-28 07:29:58
0
Mc stev events :
brorther umeongea ukweli mtupu
2026-08-25 03:36:39
2
Pweza Wa Mboka :
ukishaingiza tu habari za Mungu unanikata stimu, Siamini Kabisa habari hizo.
2026-08-26 17:37:42
0
ney💝 :
yan kwanza nataka kufungua bishala sio aza na kidg moja kwa moja bishala kubwa maan nilisha fanya san bishala zikafa kwahyio tusema naza upya maisha ila kwenye bishala moja kwa moja maan kuna watu wana sema nimesha feli maisha 😁🙏🙏🙏🥰
2026-08-29 05:32:42
1
Charity :
ni ukweli...ila we unajua sana ...wabarikiwe sana wazazi waliokulea
2026-08-25 07:30:41
1
steve :
sahhi kabisa bro
2026-08-24 21:40:56
1
Anselme paluku Kayenga :
naku kubali sana kk
2026-08-24 18:50:54
3
scientists :
Mr universe mwenyew
2026-08-24 18:50:28
2
ancilaofficial :
Fact big up
2026-08-24 19:35:01
1
user6838459854078 :
yes Blo unalo liwaza wewe ndilo ninaloliwaza Mimi maana kituchochote ukiwa teyali nacho utafanikiwa kama ukilala uwe teyali kuwamka utaamka hii ni elimu yakiroho uwelewa ngumu sana 👍👏
2026-08-25 08:43:05
3
Tommy.joseph :
niwe mkweli sjawahi sikia POINTI KAMA HII, big up sana mwanangu
2026-08-24 22:46:35
2
låstbôrn :
SUBCONSCIOUS MIND More poweeful lesson☺️
2026-08-24 17:43:06
4
To see more videos from user @dupamdupange, please go to the Tikwm
homepage.