Nimepigiwa cm na rafik angu analalamika jmn kwann inanigomea hiyo salary adv yaan alikua anahaha 😂hali ni mbaya jmn
2026-08-24 18:29:48
2
@mcperi Papi :
la mama kwenye comedy utapiga hela
2026-08-24 17:28:25
2
risasi23 :
yaaani😄😄
2026-08-24 19:18:19
0
gracioussweet cakes :
kwan mnakopaje jmn 🥺
2026-08-24 18:04:12
1
phayo_tz :
Kwan kuna watu hawajalipwa mpka leo 😳
2026-08-24 17:52:32
2
Khunayda Manjoti :
🤣🤣🤣🤣mbona kama mimi
2026-08-24 16:41:53
1
Athuman Wazir :
nilijua üko kwa veo😂😂😂
2026-08-24 16:35:51
1
Jane Kessy :
acha io mimi jana nimeenda benk kutoa hela ATM ikawa haina hela,nikaenda Kwa wakala nikatoa nikiambiwa mtandao unasumbua,leo naenda benk nakuta hela hamna we nilihic kuchanganyikiwa
2026-08-24 18:25:31
1
gosa boy :
naomba uncheck dm
2026-08-24 19:54:28
0
badman :
tupo wengiiih🤣🤣🤣
2026-08-24 18:41:53
0
Esther Kisegenya :
Hatari
2026-08-24 19:35:28
0
Leah 911 :
ndo nini hiyo
2026-08-24 19:15:29
0
💕Mrs Haule Jr💕💧 :
Kwa police kata hela za kuwekeza kibaooo😃😃
2026-08-24 18:24:01
0
Keneth Amon :
Ni Genz ila maisha unayoishi ni mkongwe kazin,Very Genius.....Nikija Tanga lazima nifike Bumbuli kuja kukuona.
2026-08-24 19:54:52
0
upendokipyali :
😃😃😃😃😃😃
2026-08-24 17:37:00
1
Linda Mshana :
😂
2026-08-24 19:08:06
0
lucky :
🤣🤣🙌🏻
2026-08-24 19:16:18
1
To see more videos from user @mtamisemi1, please go to the Tikwm
homepage.