hamisi kaka mara ya mwisho kukuona mwaka jana ndo ulikuja kutuaga pumzika kwa amani hukuwa na baya mpole mwenyewe Allah akupe kauli thabiti huko uendako tupo nyuma yako 😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-24 18:24:23
2
kibonge madini kisesa😍 :
pole sana
2026-08-24 19:24:34
1
Paulo James :
Loho inaniuma sana Ila sina jisi umetuache ivi nikwer siamin
2026-08-24 17:44:10
1
Ney juis :
Mbon vijan kwann wasiwe wazee
2026-08-24 21:28:12
1
idd seif :
RIP
2026-08-25 09:36:21
0
kimkazoba6 :
ama kweliii binadam tunapita
2026-08-24 18:51:09
1
mrs apolo :
pole
2026-08-24 16:51:21
1
RubanaJR :
polen sana familia sote njia nimoja2
2026-08-24 19:19:42
1
sobi lizzy :
mtume roho yanguu hapana siamin 😭😭
2026-08-24 16:46:12
1
Taison Paulo :
daa poleni sana jaman wote wapitaji et😭😭😭😭😭😭
2026-08-24 16:56:26
1
💔🥰💎 :
daaah hamisi Jana tyu umenitanie leo napata taarifa umetutoka pumnzika kwa amani mungu akupe kauli dhabiti 😭😭
2026-08-24 18:34:05
1
Linah j💚 :
Apunzike kwa Aman 🙏
2026-08-24 17:29:31
1
sharmilahlali :
jamani hamis
2026-08-24 18:49:18
1
Lyidia Andrea :
daaa ivi kweli Leo aupo tangulia shemji yangu nass tupo nyumban yako lahayamilele umpe ee bwana na mwanga wamilele umungazie upumzike Kwa aman😂😂😂😂
2026-08-25 13:50:34
0
jojo🥰 :
duuh
2026-08-25 13:57:04
0
kiula kitundu :
R i p
2026-08-25 19:54:59
0
Mary Hassan :
daa pole sn
2026-08-25 15:56:29
0
Ibrahim gubuka :
hamis kafa kwa ajali au na alikuwa wap jaman pole kwa family kwa ujumla mungu amlehem
2026-08-25 14:34:03
0
Angels Mammy :
polen san
2026-08-25 11:56:52
1
pendo james :
polen sana mungu alitoka na ametwaa 😭😭
2026-08-24 16:52:46
1
To see more videos from user @panchoranking4, please go to the Tikwm
homepage.