Bana weeeeh Shabib kaongea point kabisa ukikaa ukatulia utamuelewa kwaiyo boda huku shekirango hawapo au....🥰🥰🥰🙌🏽🤦🏽♂️
2026-08-25 02:58:33
121
Abdy Official Funny :
Malory 😎
2026-08-25 12:36:16
0
vifaa vya saloon :
ndomana nyerere alikataa watu wa serikali kumiliki vyombo vya usafiri kwani standi ilijengwa ili nini toeni mabasi yenu bhana
2026-08-25 07:14:10
22
ABBYGELY👌💦💫💟 :
kwahy abood BM shabiby ikipeleka gar zote stand ya maguu ile itakuwa stend au stoo kipper
2026-08-25 05:41:15
30
Empress👑Aira🌬 :
ila kiukwel shabiby kaongea point sana chalamila hajafikiria kuhus ndugu zetu weny hali ya chini
2026-08-25 08:27:06
67
Evelina Kipomela :
makofi mengi kwa shabby🥰🥰🥰
2026-08-25 04:08:41
48
JAU JAU💩 :
HII YA SHABIBY NI YA TANGU SPEAKER NI TULIA ....
2026-08-25 03:42:11
35
melanini128 :
Shabiby ni mbunge wa wap?? Mm sijui 😂😂
2026-08-25 07:14:44
12
Khadeenajb :
Huyu anaitwa nan mbona nimempenda🥰🤣
2026-08-25 06:30:36
17
djxmumbabella :
shabiby kwanini usigombee uraisi Tanzania ?
2026-08-25 07:38:20
27
Tinah Power :
Asante Shabibi mbunge wetu wa Gairo❤️
2026-08-25 06:56:37
14
Asef :
shabiby yupo sahh
2026-08-25 03:10:17
8
user6053161854163 :
paza sauti shabibi habiria tupo na wewe
2026-08-25 05:44:43
5
Faudhia Rajabu :
sijui kinauma nini
2026-08-24 17:30:05
12
eninga :
Mheshimiwa; hauwezi kuzuia basi lililolobeba abiria 50 kwa kigezo cha kuzuia foleni halafu ukaruhusu utitiri wa vibajaji vinavyobeba abiria 3 kwamba havisababishi foleni🤣🤣🤣
2026-08-24 19:42:45
17
Abdallah :
Tren wanapanda wangapi,wanapanda ndege wangapi,usiropoke tu
2026-08-24 18:09:30
11
Saidi Mkurya :
kweli shabb
2026-08-24 17:54:15
7
fina :
Wengine ni wageni wanajua kituo kikubwa ni Shekilango tuu. Wakipotea je..? na hiyo stand ya Magu itatoshea bus zote..😂😂😂
2026-08-25 06:40:14
5
To see more videos from user @were_one_, please go to the Tikwm
homepage.