@aslam__tz: Nadhan sasa nimuda sahihi wa kuongea mziki mwengine kwa aajili ya hisia zetu… ahsanten sana kwa mapokezi na support mlio nionesha kwenye huu wimbo nawapenda sana 🥹🙏🏽❤️ ALHAMDULILAH #mwambieni #dogopaten #chine #aslamtz #goviral

Aslam Tz
Aslam Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 24 August 2026 17:08:57 GMT
221098
24628
486
274

Music

Download

Comments

shuubi3
kashuubi30 :
I had to search for Kassim Mganga’s song awena on YouTube 🤭🤭
2026-09-02 21:57:14
0
melanin1222
Judie :
Support lazma aisee watu tunateswa na mapenz outside here😂😂😂😂😂
2026-08-24 18:59:00
64
neeym1
intisar abdillah :
yani hii nyimbo sijui kwann inaniliza daaaah
2026-08-24 18:53:37
113
queenice847
Only daughter 👧 ❤️ :
Nishatuma sana comment sijibiwi naonekana mpuuzi 🥲
2026-08-25 01:57:15
27
mozriyn_002
Mozriyn_Cikla :
my favourite song
2026-09-03 04:29:08
0
drantlove770
Drant love :
mafumdi wa kucheza na hisia 🎸 wapo kwenye gari moja 😅😩🙌🏽🙌🏽
2026-08-24 18:07:13
35
spell_athumani
spell_athumani :
You kill it bro 🫡🫡 nakubal san unajua kinoma pmbna unakitu @Aslam_tz
2026-08-24 17:12:58
5
feynabry_boy
f3ynabry_01 :
kuna comment naitafuta
2026-08-29 08:15:20
5
yysco3
Yuxco💔 :
nanii anaendesha gari jamn😅
2026-08-24 17:51:34
8
olooseyo
@alpha one :
andaa shoo Mombasa tulie sote bro 😂
2026-08-24 17:57:32
6
user1618161426613
neema :
daaah mapnz yanatutesan ten wanawak ndy san ila inaum san 🥺🥺
2026-08-25 02:33:43
5
hope.benedictor
Hope🦋 :
huu mwimbo ndio faraja yangu all the time 😭💔🫂
2026-08-26 16:53:58
6
muttimawangu
muttima :
shah Rukh Khan uwo!! mashallah🔥☺️
2026-08-24 18:08:17
4
rosewww72
queen💕💕 :
Jina la nyimbo plziiiiiiii
2026-08-29 21:08:10
1
_.free.nati0n._
Bℓα¢к Sнα∂σω👑🐈‍⬛ :
Aslam Ft Dogo paten collabo itakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-25 02:36:02
6
careenmengo
Careen Mengo :
nc
2026-08-24 17:36:55
1
aisha.omary03
aisha omary :
Hivi vitu huwezi elewa kama haujafikiwa
2026-08-30 10:03:32
0
shidhasoja
mishii % 95 :
nilimp moy
2026-08-25 08:05:24
1
1min891
M1n@h :
10/10 nalipa Kwa uaminifu sana
2026-09-01 07:03:12
0
To see more videos from user @aslam__tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About