Warumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
2026-08-25 03:08:00
30
Binti lazaro :
ila watu mnajiamlia mambo nini hikiii tenaaa aacheni kufuatishaa mambo ya kiduniaa mnatudhalilishaaa tu
2026-08-25 05:18:57
10
#$#kidot tina@2024 :
mh Mungu tusaidie tunakoenda hatujuii
2026-08-25 14:36:20
2
kitenge_inno_godson Kyelambeya :
ILA WASUKUMA
2026-08-26 12:30:10
1
abia devid :
Mungu anawaona
2026-08-26 08:35:06
2
official_Evelly_Petro 🎙️ :
Duniani Kuna mambo
2026-08-25 10:19:55
1
Doricas yohana :
waooooooo🥰🥰
2026-08-25 11:37:48
1
mama amina :
amen
2026-08-25 15:34:32
1
MARAFIKI WA INJILI TANZANIA :
duuu🙂🙂🙂🙂
2026-08-25 10:30:59
1
josephmasele513🇹🇿🇰🇪 :
duu amejitahidi
2026-08-25 13:57:39
2
user5625241076266 :
waooh
2026-08-25 19:36:56
1
ney maxmliani :
Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi
2026-08-25 16:46:48
1
giftprecious :
🥰🥰 jamn namtaka huyu dada nione kama saut zinafanan😂😂😂