aliyekosa anadharau aliyepata anashukuru, tuelewe hivyo tusijipe umungu sana kumkosoa mwanadamu ambaye hukumuumba wewe, unaweza kuona unachekesha ila unadhihaki watu haipendezi tumia kipaji chako kwa hekima.
2026-08-25 09:29:39
7
Lastkiddy :
huy mzee ujana wake ulikuwaj
2026-08-24 18:08:38
7
𝑨𝒃𝒅𝒖𝒍💘 :
hatimae warangi tumepata Star ✨🙌🙌🙌🙌
2026-08-28 07:08:40
4
𝙂𝙚𝙣𝙚𝙧𝙖𝙡 𝙎𝙖𝙢 👑 :
shekhe wa wapi niende one time🤣🤣
2026-08-24 17:54:07
37
🔧C🔨H🔨I🔧B🚜U🚒. Jr :
ostazi kabisa huy ila Mzee nkusa umetisha Mzee Wang... tulio Toka kolo wot like apa nimware muda wosi na nyunyi