nakumbuk nipo from tyuu kulikuwa na njaaa mam natoka shule namkuta anachemshaa mboga anakula anakunywa na uji alafu kafunga kangaa tumboni nililia siku iyo ila sikutaka mama anione naombeni mniombeeh nipambane Leo hii mama ale matunda yangu pia mm nimzike siyo yey anizike 😭😭
2026-08-25 16:39:59
33
Mamu okello🥰🥰 :
daaah 🥹🥹🥹
2026-08-26 18:30:31
0
k.i.t.a g.a.n.c.k..Tz :
god bless
2026-08-26 18:10:25
0
side, boy😆😆 :
love you. mom
2026-08-26 13:57:13
0
ma luka :
dah tunaelewa ambao so wa.kishua
mungu atusaidie
2026-08-25 14:19:09
38
khan.sharmah9 :
Oya. Nasoma adi machozi yanitoka nalia kwa hisia yani kama naona dah inauma sana tuliozaliwa vijijini na family zetu sio mzur sana kipesa hii ndo tunajua bac tugonge rike 😂
2026-08-26 05:18:36
27
Tiffah Mjengera 189 :
roho inaniuma sana mama na baba yangu wote wazee najitahid kuwapa nilicho jaliwa ila bado naona aitoshi nabaki kumuomba allah awajalie umrimrefu tu😭
2026-08-26 10:00:13
16
Johny Tz :
yani leo umenifanya nimemtumia mama elf 20 dar mungu akubaliki sawa umenifanya nimewakumbuka nyumbani
2026-08-25 18:17:45
13
RECHO 🌹🎂❤️❣️ :
Mimi Sina Cha kuongea nilie tuuu 😭😭 eeeh MUNGU nisaidie nipamban niwez kumsaidiaa mama angu
2026-08-24 20:28:20
7
roy 2rizon 🍀 :
mama angu 🥰🥰
2026-08-26 09:05:08
3
lati zungu🥰 :
dah nmeuzunika sana wallah🥹 umenifanya nimtumie mama elfu 50 hapa bila kuniomba😭
2026-08-26 18:56:25
1
michael Dread locs :
Yani Aya maisha wengine kilasiku tupo balabalani ila mzazi ata akiomba hatuna tukipata ni nauli yakurudi nyumbn nakuja kwenye makz ya watu 😭 iliniuma sana mama alifika mbali akasema au uyo mwanamke wako mwenye mimba ndo kachukuwa nafasi yangu daaah nilijisikia vby angejua kama ata Kodi baba mkwe ndo kailipa japo hajui kama naishi na mwanae😏 baba kamtumia binti ake alipe Kodi akijua amepanga kumbe yupo kwangu daaah 😭😭 tunawapenda sana wazazi wetu ila tyu hatuwambii tunayopitia uku mjini tukiwamby tuko wazimA wamshukuru mungu
2026-08-26 17:56:31
3
Majezzy :
Inauma sana
2026-08-25 09:02:28
0
salma omary❤️🔐 :
nimekukumbuka sana mama angu😓
2026-08-26 00:58:35
4
Fatma Emba :
Nimeumia San Allah anitunzie mom Ang aje ale matunda yangu
2026-08-25 21:41:39
3
da jaa brand💞💞💞💞 :
kweli kabisa tulio lelewa kijijini tunajua
2026-08-25 17:45:10
1
kizazi hasi :
mmh balaa
2026-08-25 04:19:52
0
Queen eva :
me sikuwai kulelewa na mama ata siijui harufu yake. nawaonea wivu sana ambao mna mama😩😩😩😢
2026-08-26 15:00:52
6
ReyOg :
jmn mbna mnatuumiza😭😭 ivoo
2026-08-25 14:52:18
3
CR7 :
wazee kumbukeni 2lipo toka
2026-08-26 04:53:28
1
Abuu mtilo :
Shida chama akitaki nimsaidie mama usione napendeza mama lkn nakupenda sana
2026-08-26 17:33:58
1
anna :
Jamani Inauma sanaaa
2026-08-25 06:50:35
2
user4813539798167 :
dah
2026-08-24 18:52:33
0
To see more videos from user @king_kinota, please go to the Tikwm
homepage.